Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,431
- 6,400
daaaah kucheza kwenye madimbwi ya maji (kudiba), nakumbuka 90's tulikuwa tukiogelea kwenye shimo walilofyatulia tofali (somewhere in morogoro) kumbe kulikuwa kuna kisima ndani ya shimo hilo (bwawa) daaah nakumbuka tulikuwa tunacheza mchezo wa kidari daaah mmoja wetu akazama tukadhani kajificha kumbe alinasa kwenye tope na ndo ilikuwa mwisho wake R.I.P