Albinos in Tanzania murdered or raped as AIDS "cure" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Albinos in Tanzania murdered or raped as AIDS "cure"

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, May 5, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wabongo tunapondwa kwa amani za kishirikina!

  Albinos in Tanzania murdered or raped as AIDS "cure"


  By Fumbuka Ng'wanakilala
  Reuters - 05 May 2011
  [​IMG]

  DAR ES SALAAM (Reuters) – Hundreds of albinos are thought to have been killed for black magic purposes in Tanzania and albino girls are being raped because of a belief they offer a cure for AIDS, a Canadian rights group said on Thursday.

  At least 63 albinos, including children, are known to have been killed, mostly in the remote northwest of the country.

  "We believe there are hundreds and hundreds of killings in Tanzania, but only a small number are being reported to the police," Peter Ash, founder and director of Under The Same Sun (UTSS), told Reuters.

  "There is belief that if you have relations with a girl with albinism, you will cure AIDS. So there are many girls with albinism who are being raped in this country because of this belief, which is a false belief.
  "

  Around 1.4 million Tanzanians among a population of 40.7 million have the HIV virus that leads to AIDS.

  Albino hunters kill their victims and harvest their blood, hair, genitals and other body parts for potions that witchdoctors say bring luck in love, life and business.

  "(It is believed) a person with albinism is a curse. They are from the devil, they are not human, they do not die, they simply disappear,"
  said Ash.

  Ernest Kimaya, head of the Tanzania Albino society and a sufferer of the pigment disorder, said social stigma prevented many girls from reporting rape, making it difficult to say how many albinos had been sexually abused.

  "These things are taking place underground. Even the albino killings started quietly, before the atrocities were finally exposed in public," Kimaya told Reuters.

  Activists last week reported three murders of teenage albino boys from the same family in northern Tanzania, who were poisoned and their bones later robbed from their graves.

  The Tanzanian government says it is determined to halt the macabre killings, but has been widely criticized for inaction.

  (Editing by Richard Lough and Andrew Roche)

  1 Comment
  John R. 1 minute ago
  Barbaric and cruel...so much for the cradle of humanity.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Madness!
  Hivi hii kitu nilidhan imeisha, kumbe bado ipo!
  Ujinga ni mbaya sana, kuliko hayo maradhi!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Inasmuch as we there are killings of albinos in our nation, it has always been associated with wealth seeking from witch doctors and Primitive confused minds of men seeking wealth. But killings because of it being believed to cure HIV/AIDS is all new to me..... And it is so embarrassing being painted as that, all those foreigners when reading will think the majority doesnt know what the disease is all about; which is not true...
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  You are very right. Nakumbuka enzi zile mtu unaona sifa kusema unatoka TZ, lakini kwa sasa imekuwa nouma!
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haina tofauti na Loliondo!
   
 6. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Au Newala!
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mimi siamini kuhusu huo utafiti! Unajua kuna watu ambao ni opportunists hawashindwi kusema chochote ili wapate misaada! Wanajua wazungu wanapenda kusikia nini so they talk! Nimeshafanyiwa interview na media nyingi za US; they put words in ur mouth kama hauko careful!

  Ndio kwanza leo nasikia kuhusu albino kuwa ni dawa ya Ukimwi! Nafikiri aliyehojiwa alikuwa anataka sympathy kwa kuexaggerate; which is not fair!
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lakini nafikiri mwandishi (Fumbuka Ng'wanakilala) ni mbongo. Kama ni hivyo basi lazima atakuwa anaushahidi wa hayo aliyoandika!
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Majuzikati nliangalia documentary moja kuhusu mauaji ya albino Tz..it is sad story kwamba hii nchi imejaa watu wasio na elimu stuck with ancient thinking. Kuna mvuvi wa ziwa Victoria akahojiwa akadia eti albino sio watu ni roho tu. Mganga mmoja wa kienyeji akadai yeye hahusiki na mauaji ila akipata sehemu za mwili lazima azinunue maana ni specimen adimu na muhimu kwa kutengeza potions. Sasa kama nchi imejaa watu wenye akili za ajabu na kutawaliwa na myths kiasi hiki no wonder tuna viongozi legelege wasio na maono wa mipango.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyu mwandishi muongo kaamua kuitwist habari kwa faida zake. kuonyesha naye kachunguza na kugundua kitu kipya juu ya haya mauaji.

  Wakati mauaji ya albino yapo na sababu zake ni za kishirikina sidhani kama kuna mganga wa kienyeji anamwambi mtu eti ana ukimwi kupona atahitaji albino. Nooooo Hii ni habari ya uongo. Wenye Aids wakienda kwa waganga sanasana wataambiwa wamerogwa.


  Otheriwise Basi waganga wa tanzania ni wasomi mpaka wanajua kuna AIDS na dawa yake ni Albino mhhhhhhh.

  Huyu mwandshi naye arudi shule ajifunze jinsi ya "kupika" habari.
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hata mm nawasiwasi na huyu mwandishi,inamaana AIDS anagundulika kwa lamuli hii mpya!!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Embarrassing.....
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kaunga ningependa kweli niamini usemavyo, ila for instance wangesema kua wanauwawa for supernatural beliefs kwani unadhani wasinnepata huo msaada. I believe there is a hint of truth in it...

  Mimi mwenyewe ndo kwanza nimeona hii news, lakini si unajua hapa inchini kwetu vitu vya utafiti vinavyohusiana na wanajamii nyingi inaendeshwa na outsiders..
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyo mwandishi msanii hii habari ilimpa sifa vicky ntetema wa bbc kama sikosei maana yeye alifaya reseacrh iliyoenda shule tena risky.

  Sasa huyu anataka kufanya project iliyofanywa tayari na anakuja na habari hazina mshiko.

  I thought mtu kama yeye mwenye jina linaloendana na watu wa kanda ya ziwa ana postion nzuri za kuandika taboos ambazo zinaweza kuipa habari yake mshiko.
   
 15. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mwandishi ni mtanzania halisi, lakini naona kwenye hii makala amepindisha ukweli bila kujali uzalendo. Nionavyo, uandishi wa namna hii ni matokeo ya kasumba ya ukoloni mamboleo. Kuna watu hadi leo hii bado wanafikiri ni ujiko flani kujiponda mbele ya wazungu!
   
 16. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hii ni aibu yetu tuone soni kwa madudu tunayoyafanya. na ni bora zaidi tukijiandika wenyewe kuliko tuandikwe na wazungu...tunatia kichefuchefu
   
 17. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe lakini ni lazima tuwe makini kusema ukweli badala ya kuzusha mambo ambayo yana confirm the white man's prejudices; just because!
   
 18. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wazungu wajanja.. hapo wanajaribu kuki-sabotage kikombe cha babu.
   
 19. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sasa cheki madongo mazito jamaa wanayotoa. Nimenukuu komenti chache tu:

  1. It always amazes me how on the same planet you can have one society that has advanced into the space age, yet another society still practices such ancient barbarism and superstition.- Jim Smith

  2. Some people are quite content to remain in the 8Th century. This is a prime example as is Afghanistan
  .- Sully

  3. The "Dark Continent" is aptly named
  - Earn This

  4. Backward savages living a thousand years in the past - Man

  5. And the rest of the world preaches how "evil" the USA is! Nice to know that some cultures are still living in the stone age, maybe advancing all the way to Neanderthals.
  - MH

  6. And people wonder why colonialism existed? These barbarians need somebody civilized enough to keep them under control.- Bob

  7. Another great contribution to the world of medical science, brought to you by the residents of Africa.- Pope

  8. ONLY thing more dumb and ignorant than Muslim savages hiding behind backward "culture" are African savages and superstitions. - Heapbigdeficit

  9. Evolution would have destroyed these people long ago if we hadn't propped them up financially - Pantheist Sleestak

  10. A continent of savages and animals. A great place to test nukes -

  11. Just one of many reasons why Africa is considered the dark continent (dark mainly meaning evil with lots of occult black witchcraft). Time to remove all Africentrism teachings out of our colleges and schools and text books.
  - JJCasino

  Endelea kusoma madongo ya wachangiaji hapa. Jasho litakutoka!
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kaka kwa vitendo vya kishenzi dhidi ya walemavu wa ngozi, hata mie nimegwaya kujitetea hapo. Ni vitu vya ajabu na aibu. Hata hivo sishangazwi na hizi comments za kibauzi na habari yenyewe ilivokuwa sensationalized. The mzunguz or any other races will NEVER respect the Africans, pamoja na kujikomba kwa baadhi yetu kwa hawa watu, thats the fact and I did not expect different reaction..mimi binafsi naamini serikali imefanya kidogo sana so far kuwaadabisha wauaji wa hawa albino. We have weak administration in everyway.
   
Loading...