Albinos in Tanzania murdered or raped as AIDS "cure"

..mimi binafsi naamini serikali imefanya kidogo sana so far kuwaadabisha wauaji wa hawa albino. We have weak administration in everyway.
Hapo umenena, yaani inasikitisha kuona tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele wakati viongozi wetu wanaonekana wanaridhika na 'maendeleo'.
 
Hii ya kutibu ukimwi ndio kwanza naisikia.....kwa kweli hizi imani za kishetani zinatuharibia mbele ya jamii zilizostaarabika!
 
Kaunga ningependa kweli niamini usemavyo, ila for instance wangesema kua wanauwawa for supernatural beliefs kwani unadhani wasinnepata huo msaada. I believe there is a hint of truth in it...
I still have reservations; na u know what; kwa habari kama hii huenda ikaaccelerate mauaji! It needs just one fake Mganga kuanza kuua albino na kuibia watu. Ref babu wa Loliondo; how many people have come with vikombe coz of media! Siku zote duniani habari mbaya zinasell; na utafiti wa mambo ya kishirikina it just need somebody saying what s/he heard and it become a story!
 
Lakini nafikiri mwandishi (Fumbuka Ng'wanakilala) ni mbongo. Kama ni hivyo basi lazima atakuwa anaushahidi wa hayo aliyoandika!

Maybe; but huoni kwa kuchapisha habari kama hiyo si anatudhalilisha lakini ametangaza another 'kikombe' hence putting more albinos' lives into risk?
 
I still have reservations; na u know what; kwa habari kama hii huenda ikaaccelerate mauaji! It needs just one fake Mganga kuanza kuua albino na kuibia watu. Ref babu wa Loliondo; how many people have come with vikombe coz of media! Siku zote duniani habari mbaya zinasell; na utafiti wa mambo ya kishirikina it just need somebody saying what s/he heard and it become a story!

I believe we are on the same path; we both do not like that our nation is being smeared badly over international news - and I also agree that habari mbaya zauza zaidi. I know the power of media but I will unfortunately have to disagree with you that' that habari will result in accelerating more killings by any fake mganga at that. If any albino's blood will be spilled it will be because of the continuing dogmatic beliefs of a few ignorants and psychopaths who believe that they would get their end result by killing an albino.
 
Back
Top Bottom