Nafahamu huyu jamaa alikuwa anafanya kazi PSI-TANZANIA kama buyer, ila sikumbuki kama alikumbuki kama jina la obama alikua nalo, wadau mnaomjua huyu jamaa naombeni data.

Alafu ukijua kama hilo jina alikuwa nalo au hakuwa nalo itakusaidia nini? Itawasaidia watanzania kwa namna ipi? We hilo jina la mtanzania haswa ulikuwa nalo miaka miwili iliyopita? A name is just a name! Acha majungu!

hahaha Saragossa, nahitaji tu kufahamu kwa nia nzuri, sijauliza kwa niaba ya watanzania kwani halitawasaidia kitu watanzania, na sina majungu, kwani kuuliza nimefanya kosa?
hapana ni kutaka kufahamu tu. kama ndo wewe naomba unifahamishe tu, anapotoka mama yangu ni manyovu pale kalinzi sijapata kusikia jina hili kwa waha au wewe sio wa kigoma