mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,211
- 137,616
Huyu mzee wa kunawa hafaiKumweka Albert Msando kuwa mbunge wa Arusha mjini ni matusi kwa ccm na Wana Arusha.CCM Arusha ina watu wake na Msando hayumo.Huyo akigombea maeneo ya vijijini ndo atapita ila sio mjini.
Kuhusu FA.No comment
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀Naunga mkono hoja, wagombee tuu, turawachagua.
P
Umeona mbali,wanataka kupima raia watasemajelengo langu ni kumuanika tu , nyuzi kama uzi huu haziletwi kiboya , zinakuwa na malengo maalum
Serious? Ni mmoja Kati ya wasanii walio chini ya eagle house? Hii inanikumbusha yule mwanahiphop wa bongobangra aliyejichinja shingo akafa miaka kumi iliyopita ndio alikuwa msanii mwanamziki wa kwanza kumjua ni tiss recruit hii ya mwanafa ni mpya!!
Kwani wewe ulikuwa hujui hilo? TISS ipo hadi kwa madada poa, mapadri, mashehe, maaskofu, wachungaji, chokoraa, wasanii, wabunge, walimu, madaktari, maprofesa, makonda, madereva, wagonjwa, majambazi, walevi, wakulima, makuli, vichaa, na kila mahali hicho kitengo kipo.Serious? Ni mmoja Kati ya wasanii walio chini ya eagle house? Hii inanikumbusha yule mwanahiphop wa bongobangra aliyejichinja shingo akafa miaka kumi iliyopita ndio alikuwa msanii mwanamziki wa kwanza kumjua ni tiss recruit hii ya mwanafa ni mpya!!
Erythrocyte sio level yako wewe ni level ya kawe alumni na jingalao
Hivi unatesekaje na post ya mtu mwingine ? Nyie ndio vyanzo vya Corona Tanzania!
Naunga mkono hoja Msando awe mbunge ili Gigy Money apunguze kudanga, maana atakuwa Mrs mbunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi kabisa wakili Msomi Msando anaweza kuwa na Msaada Mkubwa kwa Watu Wa Arusha Kuliko Makelele haya ya sasa.
Kwa msaada wa Kisheria na Kijamii naotoa kijana Huyu,CCM ikimsimamisha itapata Heshima kubwa sana.
Sambamba na Jimbo la Muheza/Handeni/Kawe ama Jimbo lolotea Mkoa wa Dar kwa MwanaFA Msanii Msomi vijana tutafurahi sana.
Sitashangaa wakiwa wabunge bunge Lijalo.
Kwako Mwalimu KashashaView attachment 1367444View attachment 1367445
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya mambo yenu ya chadema na ccm hamna kingine mnacho kijua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaBasi na Gigy Money apewe Ubalozi
Tuongozwe na ma&$&'/:zzz
Hebu tuondoleeni uchawi hapa