Albert Msando: CHADEMA kinaponzwa na unafiki

Tundu Lissu ni opportunist,anajua jinsi ya kuishi na WACHAGGA,Refer ya CHADEMA na DADA YAKE LISSU.
 
Mwanasheria wa Mhe. Zitto Kabwe akizungumza Clouds Tv sasahivi anasema Chadema kinaponzwa na unafiki kwa baadhi ya viongozi akiwemo Mhe. Tundu Lissu.

Pia amesema kwa hali ilipofikia sasa ZZK ni lazima afanye maamuzi magumu. Msando anaendelea kuongea ndani Clouds 360 ya Clouds Tv.

maamzi magumu yapi wakati kashafukuzwa au anamshauri ajiue...
 
pia ubnafsi, uwezo mdogo wa kufikiria na uchu wa madaraka katika chama vitaua chama
 
Tundu Lissu ni opportunist,anajua jinsi ya kuishi na WACHAGGA,Refer ya CHADEMA na DADA YAKE LISSU.
 
Kama anajua CHADEMA ni wanafiki mbona nang'ang'ania kubaki humo? Aende zake ACT huko si hakuna wanafiki. Mtu hutakiwi na CHADEMA halafu bado unajipendekeza tu.
 
Akili za huyu jamaa na za tundu lisu hazina tofauti. yaani ni wanasheria makanjanja sijapa kuona
 
Mi nafikiri Msando ndo mnafiki nambari one, na ndiye aliyeharibu mstakabari wa maisha ya Zitto kwa kumfanya nae awe mnafiki.

Hivi si ndo huyuhuyu Msando ndiye aliyepokea pesa za PAP kwa niaba ya Zitto? Si ndo huyu huyu aliyeshirikiana na yule mwanachama wa chadema Arusha aliyekimbilia ACT?

Na ndio huyohuyo diwani wa mabogini ambaye leo ukiitishwa uchaguzi anasababisha chadema ipate kura za aibu na huenda ikawa kura mbili tu yaani ya kwake naya mke wake.

Aendelee na deal za kuwa dalali wa mahakama ili mwisho wake ukaribu
 
Dah mamayangu aliniambia siasa mchezo mchafu sana bora nikawekeze sehemunyingine

sijui kama mnamsikia ama mmesikia alichosema albert msando clouds..simjuia hanijui na hatokaa anijue milele ile naona mnaongelea upande mmoja na kudhirisha sasa sio tu tundu lissu mnafiki na wanachama wa chadema huku wote wanafiki kama mlivyokimbilia kujibu

amesema tundu lissu ni mnafiki....akuna mwenye mamlaka ya kumfukuza zitokabwe....zaidi ya ile kamati yao kuu...sasabasi nani aliekuwepo siku tundu lissu anaongea swala la zitoo wote mnajua alisema wazi zitto si mwanachama wa chadema tena

kisheria ni popompo huyu hana mamlaka ya kumwondolea uanachama kama kamati kuu aijakaa kuidhinisha...

Mytake;
so far wanasubiri hiyo hukumu iandikwe apelekewe spika baada ya hapo spika anampa zitto wanarudi kwa ya kafulila ...sijui kama mnajua yalioendelea kw akafulila....tusiongelee kishabiki tuongelee kisheria akuwa na mamlaka ya kumsemea zitto kwenye vyombo vya habari hatakama sheria za chama zinasema hizo..zipo procedure za kumfukuza mtu..na kama mnamsikiliza albert anasema lissu akuwa na mamlaka ya kuropoka wakati vyombo husika avijakaa kuidhinisha hilo

kingine kuonyesha ana upopopompo wa sheria aliishia kusema ajui kama kamati kuu inakaa leo ama kesho;..so kumbe anajua kinachotakiwa kufanywa mbona anaropoka kwenye vyombovya habari zito kafuukuzwa unachama.....

Plpssssssssssssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

sauti ya mungu sauti ya watu subirini mwezi wa tano....
 
Mi sikuzote sikujua wanachama wa chadema humu mapopompo hivi
mmh ngoja niwaweke maombini kwa gwajima jioni ya reooooooooo
 
Ivi mirembe walikuhamisha?
MI NILITOKA SIKU NYINGI SIJUI WEWE MPWA HIVI WALIPOKUKUTA NYUMA YA HOSPT UNASUKUMU ULE MZIGO SIKU WALINZI WAMEGOMA ..WALIKUACHIA UTOKE ??sIJAAMINI UMERUDI MPWA WANGU BG UP NAYO N FURAHA KWANGU ILA NILISEMA NTALAANI KAMA UTAENDELEA KUWEPO KULE WAKATI UMEONYESHA ULICHOKIMISS SIKUZOTE
 
Mi sikuzote sikujua wanachama wa chadema humu mapopompo hivi
mmh ngoja niwaweke maombini kwa gwajima jioni ya reooooooooo

Hata wewe Pdidy? Aiiibu yako!
 
Last edited by a moderator:
Dah mamayangu aliniambia siasa mchezo mchafu sana bora nikawekeze sehemunyingine

sijui kama mnamsikia ama mmesikia alichosema albert msando clouds..simjuia hanijui na hatokaa anijue milele ile naona mnaongelea upande mmoja na kudhirisha sasa sio tu tundu lissu mnafiki na wanachama wa chadema huku wote wanafiki kama mlivyokimbilia kujibu

amesema tundu lissu ni mnafiki....akuna mwenye mamlaka ya kumfukuza zitokabwe....zaidi ya ile kamati yao kuu...sasabasi nani aliekuwepo siku tundu lissu anaongea swala la zitoo wote mnajua alisema wazi zitto si mwanachama wa chadema tena

kisheria ni popompo huyu hana mamlaka ya kumwondolea uanachama kama kamati kuu aijakaa kuidhinisha...

Mytake;
so far wanasubiri hiyo hukumu iandikwe apelekewe spika baada ya hapo spika anampa zitto wanarudi kwa ya kafulila ...sijui kama mnajua yalioendelea kw akafulila....tusiongelee kishabiki tuongelee kisheria akuwa na mamlaka ya kumsemea zitto kwenye vyombo vya habari hatakama sheria za chama zinasema hizo..zipo procedure za kumfukuza mtu..na kama mnamsikiliza albert anasema lissu akuwa na mamlaka ya kuropoka wakati vyombo husika avijakaa kuidhinisha hilo

kingine kuonyesha ana upopopompo wa sheria aliishia kusema ajui kama kamati kuu inakaa leo ama kesho;..so kumbe anajua kinachotakiwa kufanywa mbona anaropoka kwenye vyombovya habari zito kafuukuzwa unachama.....

Plpssssssssssssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

sauti ya mungu sauti ya watu subirini mwezi wa tano....

Aiseee wee jamaa ni gay....

I suspected u as long,ila ndio nimeprove!!

Useless!
 
hahaaaa polesaa sina unafiki mpwa kwenyeili chukia pasuka
hapaa ndioo jf wangu free ......,to sayto talk.....kingnr mpwaa
 
Hawa akina ACT akili zao mbaya wao wanasema kua tundu lisu ndoo kamfukuza ZZK kumbe kajifukuza mwenyewe baada ya kukipeleka chama mahakaman,na sheria ya chama inasema kua ukikipeleka chama mahakamani baada yakutoka mahakamani ww hautokua mwanachama tena wa chama hicho.
 
Back
Top Bottom