Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Zitto ajitahidi kujijenga upya,asije akabaki historia kama Dk Amani Warid Kabour!!bado taifa linahitaji mchango wake,alipoteleza anaweza jirekebisha mbeleni na mambo yakamuendea safi tu!
 

hivi unataka kutuaminisha kuwa chadema hakuna haki?hivi kama ktb ya chadema ingekuwa inakandamiza haki,kina prf safari,baregu,marando wangekuwa cdm?na ninani aliwahi kulalamika kuwa katiba ya chadema inakandamiza haki?na je chama cha siasa ni chadema tu?kwa nin ukubali kukaa kwenye chama ambacho hakitendi haki?
 

mkuu naona kma ni hoja nyepesi sana kwa mwansheria haya ni maneno ya udaku na kama ndio anamtegemea antete basi itakuwa imekula kwake
 
Hivi mwanasheria mkumbwa kama msando kesi yake inatupwa kwa swala la jurisdiction..???tangu jana nilianza kua na wasiwasi na shule yake.!!
 
Chadema hatutaki mamluki zito akanunue uchawi mpya kigoma. Tulimdhamini kaleta kiburi sasa atakula jeuri yake. Ahamie ccm ndio kuna mafisadi wezake
 
Hicho kipengere kingekuwa fair Wala tusingekuwa tunaandika humu. Kuweni wasikivu mjitafakari acheni utamaduni wa Kuwa wabishi ni dhahri kipengere siyo fair sasa chama kitashirikianaje na huu muhmili muhmu?
 
Mbona hizo hoja hazitokani na uamuzi wa Mahakama kuu? yeye (Msando) akubali kuwa hakujua au hajui, au alimpotosha Zitto katika kufungua kesi mahakama kuu...
 

nikuulize swal,zitto hakushiriki kuandika hyo katiba?wewe na zitto nani anaijua vzr katiba ya chadema?aliwahi kusema wapi kuwa katiba inawalinda walioanzisha chama?
 
Sasa Chadema Si Wamin Tena Km Swala Dogo Km Hilo Walishindwa Kulimaliza Ndan Ya Chama. Ndio Hao Wanaomba Kura Ya Kuongonza Nchi Kwa Binafsi Yng Hata Km Mzee Wa Nyoka Mwenye Makengeza Akiwania Ccm Bora Nitamchagua Kuliko Hawa Chadema. Pamoja Na Zito Kuwa Na Makosa Ilibd Wamhoji Kwanza Kuliko Kumkurupusha 2 Km Ameiba Nan Asiye Kosea Jaman, Km Yupo Anijbu?
 

Hivi unajua mlolongo mzima wa zzk na cdm au unatoka kulala?
 
Kabla ZZK hajatoa maamuzi.....chadema kimefanya. Anazo option mbili: Kujenga act yake au kujiunga na ccm....tena wamteue mgombea urais (wapambe wake watafurahi sana)
 
Watu wa aina hii ni wakuwaogopa kama ukoma ndio wanaomfanya Zitto ajione keki zaidi ya chama baada ya kujazwa ujinga na watu kama hawa.
 
Hicho kipengere kingekuwa fair Wala tusingekuwa tunaandika humu. Kuweni wasikivu mjitafakari acheni utamaduni wa Kuwa wabishi ni dhahri kipengere siyo fair sasa chama kitashirikianaje na huu muhmili muhmu?

sasa hicho kipengele kimewekwa kwa ajili ya mtu mmoja au ni kwa wanachama wote,na mbona walikipitisha kama hakikuwa fair?
 
Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema


Ajabu ni kwamba Zitto na Msando wake walishiriki kuisimika hiyo katiba yenye kipengere hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…