Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Leo katiba ya chadema inaonekana halali kwa zito,ila hao hao viongozi wachadema Mara nyingi hawataki na wanavunja sheria halali za nchi,uchochezi nk,ningekua waziri wa mambo ya ndani nimuda muafaka kusimamia sheria za nchi

utapasuka msamba kaka,achana na cdm chama kubwa.
 
Wakili uchwara Mkuu, Wakili wa kweli anayeijua sheria nje ndani hawezi kuongea pumba kiasi hiki.

Mbona huyo wakili wake ana akili ndogo sana,anauliza maswali ambayo hata nape nauye na makoonda hawawezi kuyauliza....
 

Kama unaona CDM ina katiba mbovu si muende kwenye katiba nzuri tena ni hiari,kuna vyama kibao CCM,UDP,TLP,DP nk.kwanini mnang'ang'ania CDM? Acheni kujitoa ufahamu nyie mamluki mipango yenu imefeli mmebaki kutapatapa
 
Huyu naye hovyo kabisa , alifanya ufyoko kuhusu utaratibu wa kufungua hiyo kesi.
Kesi imetupiliwa mbali mavi yanamgonga chupi , arudi darasani akajifunze tena utaratibu wa kimahakama.
 
Huyo msando Alberto asijitie umajinuni hiyo ndo katiba iliyomweka mabogini kama alijua sio ya kidemokrasia angeenda TLP mshamba sana huyo kama vipi aende nae ACT hatutaki virusi chadema

Kwa kasi hii kila anayefikiri tofauti ni msaliti mtafukuza wengi.
 
Last edited by a moderator:
Swala la zzk limewaamisha wengi ktk fikra et? jamani zitto ni yuleyule habadiliki
 
Kama unaona CDM ina katiba mbovu si muende kwenye katiba nzuri tena ni hiari,kuna vyama kibao CCM,UDP,TLP,DP nk.kwanini mnang'ang'ania CDM? Acheni kujitoa ufahamu nyie mamluki mipango yenu imefeli mmebaki kutapatapa

Hivyo vingine tunaviona ila mpaka tuhakikishe Chadema inasagika na kubaki vipandevipande.
 
Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Lakini kumbuka kwamba kila chama kina katiba yake, ambayo kila mwanachama lazima airidhie kupitia mkutano mkuu. Kama Zitto ameikiuka hio katiba kama alivyokiuka katiba ya CCM ndg, Mansoor Himid, lazima apigwe tu.. Hakuna jinsi.
 
Hivyo vingine tunaviona ila mpaka tuhakikishe Chadema inasagika na kubaki vipandevipande.

Mkuu upinzani walikwepo Kina lamwai, kaburu, mrema, cheyo, ngawaia na wengineo na wameondoka seuse huyu bwana Mdogo na apite tu its just like version
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…