Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,312
- 152,112
Muda huu Channel 10 yuko Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji) katika kipindi cha "Mada Moto". Majuzi alikuwepo Msigwa na pia Tundu Lissu aliwahi kualikwa hapo studio kama siku 8 au 7 hivi zilizopita.
Leo hii Lusinde anamsifu sana Magufuli.Hata Lissu na Msigwa japo japo walimpinga Magufuli lakini pia nao walimpongeza kwa kiasi kidogo hasa katika swala la kubana matumizi.
Swali:Kwanini Waandishi mnashindwa kuwahoji hawa wabunge ni kwanini kama kweli wanamuunga mkono Raisi Magufuli katika kubana matumizi bado wanang'ang'ania kulipwa sitting allowance?Kwanini wao wabunge wasiwe mfano wa kubana matumizi kwa kukata posho hizi?
Waandishi wa kitanzania mna udhaifu mkubwa sana katika swala zima la kufanya mahojiano na huenda huwa hamjiandai vya kutosha.
Waandishi wetu mna udhaifu mkubwa sana wa kuwabana wanasiasa kwa maswali ya msingi mnapopata nafasi.
Ni bahati mbaya sana kuwa ni vigumu sana kupata line wakati kipindi kikiwa kinaendelea. Nilitamani sana kumuuhoji kibajaji hili swali.