Albert Einstein: World War IV will be fought with sticks and stones

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Apr 7, 2017
180
251
Albert Eistei Aliposema
"I know not with what weapon world war 3 will be fought, but world war 4 will be fought with stick and stones:

Huu Msemo ulionekana kama Sarcasm Lakini kulingana na majira ...inaonekana wazi kama world war 3 imekaribia

Nchi kama russia, usa, china na north korea wametengeneza nuclear weapons nyingi kujiandaa na lolote

Kama vita vya 3 vitatokea, watu wengi watapoteza maisha
Vifo na majanga makubwa

Wenye wataponea hii wataogopa sana vita na silahi kama izi...
Vita Vingine Vikifuata Watu Watapigana na Silaha Za Kawaida...vijiti na mawe
 
Back
Top Bottom