mbona nyie mnawajadili wanawaume wenzenu wameoa mabinamu? kama mko jidah mnaweza katwa na jambia!Mbishi kwani mie mshipa?
Maswali mengine kama uko Jidah unaweza kukatwa na jambia. Mwanamme unamuuliza mwanamme mwenzako kama kaoa, kama Kilindoni unazua kesi hivihivi. Au unapewa chakacha.
Kwa hiyo ndo unataka kunipa Mwali ? Dadako huyo? Ushaelewana naye ama unataka kuleta zogo? Mipango yake unaijua wewe?
Kwa sababu gari ilikuwa anasa, wakashindwa kwenda mbali.
Kwa sababu traditions zilitaka ndoa zifanywe kati ya familia zinazojuana kuepuka surprises, and your cousin's family is better known than a stranger.
Kwa sababu they wanted to keep it in the family, like Sicilians.
Kwa sababu "wanasayansi maarufu" wako overrated, ni watu tu. Einstein alikuwa na mental health problems, probably some form of autism or neurogenetic disorder, that might have sprung from this same inbreeding. Na Newton alikuwa a crackpot alchemist akitaka kutengeneza dhahabu kwenye lab.Darwin was a mollusc collecting doctor's son for atoms sake, how would you expect him to do any better in this department?
Geeks are eccentric and would prefer a supportive woman over the height of society, Darwin would probably have preferred his southwesten gales and Galapagos turtles over a woman, why are you astonished by their modesty?
Mkuu The Boss, kuna wakati niliwahi kuweka uzi hapa kuhusu wanasayansi hawa na vituko vyao nikihoji kama walikuwa ni vichaa au hamnazo...?
Kwa mfano Albert Einstein ni mwanasayansi alieweza kuelezea kwa undani kuhusu uwiano mwingi wa masuala ya sayansi. Yeye alifurahia sana kuwa na nyumba ndogo. Hiyo nyumba yake ndogo alikuwa ni binamu yake na aliishi nae kwa takribani miaka mitano kabla hajamuacha mkewe wa ndoa ambaye alizaa nae watoto kadhaa kabla ya kufunga nae ndoa, na kuioa hiyo nyumba ndogo.
Charles Darwin huyu ningependa kumuita mzee wa utata, huyu nae ni mwanasayansi aliyezungumzia kuhusu mabadiliko ya viumbe (Evolution). Alikuwa akiishi peke yake kwa muda mrefu bila ya kuoa kwa sababu alikuwa akijiuliza faida ya kuoa na kuishi bila kuoa kabisa. Mwansayansi huyu nae alikuwa na vituko vingi, kwani kuna wakati alisema, Kwa kiasi fulani mke ni bora kuliko mbwa, lakini ni kupoteza muda wako tu kuwa nae Hata hivyo alikuja kuoa baada ya kuwa na uhusianao wa muda mrefu na mwanamke huyo aliyemuoa.
Sigmund Freud, Huyu ameweza kueleza vizuri kuhusu saikolojia na ufahamu, kwa ujumla alikuwa ni mtu mzuri, lakini alikuwa na mzozo na rafiki yake, kutokana na tabia zake za kushindwa kudhibiti hisia zake za kutojitosha, na hivyo kutaka kuabudiwa na kunyeyekewa.
Isaac Newton ambaye aliweza kukokotoa na kutoa kanuni za mwendo zijulikanazo kama Newton laws of motion, na kanuni ya nguvu za mvutano za dunia, alilelewa na bibi yake, baada ya baba yake kufariki na mama yake kuolewa na mwanamume mwingine, ambaye Newton hakumpenda kabisa. Newton alikuwa na tabia ya kupenda ugomvi na mizozo isiyo na umuhimu na wanachuo wenzake na hata marafiki zake, pia alishawahi kulelewa kwenye vituo vyenye kutoa ushauri nasaha. Kumbuka hapa namzungumzia mtu ambaye ugunduzi wake kwenye Fizikia haujavunjwa hadi leo.
Marie Curie ambaye aligundua Radioactivity, aliishi na mume wake kwenye nyumba iliyokuwa na vitu vichache na vilivyozagaa kwa sababu alichukia sana kazi za ndani, sijui wakati huo kulikuwa hakuna watumishi wa ndani (House Girls)? Wakati wakifanya shughuli zao za uchunguzi kuhusu radioactivity walikuwa wakiishi katika kibanda chao kilichokuwa na matundu, kiasi ambacho hata mvua ikinyesha maji yaliweza kuingia ndani. Hawakuwa na fedha nyingi na mara nyingi walitumia fedha kidogo walizonazo kununua kahawa na kunywa kwa furaha, huku wakiota katika jiko lao la stovu. Marie Curie nae alijishindia tunzo mbili za Nobeli.
Paul Erdos mmoja wa wanahisabati katika karne ya 20, ambaye amesaidia sana katika kutengeneza Kompyuta, huyu naye hakuwa ametulia sana. Hakuishi maisha ya kifahari, karibu maisha yake yote yalikuwa ya kifukara, kwani alitegemea misaada ya chakula na nguo kutoka kwa marafiki wema. Hakupenda kujilimbikizia mali ingawa angeweza kama angetaka.
Je sasa umeweza kushawishika kwamba watu wenye vipaji maalum (Geniuses), huenda ni watu ambao kwenye upande wa pili wa maisha yaani katika kujenga maisha yao, hawana uwezo? Lakini Je sio kwamba watu wanapokuwa na uwezo mkubwa kiakili hatimaye mambo mengine kama vile fedha na ufahari vinakosa maana kwao? Nadhani hili ndilo la msingi.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-wanasayansi-hawa-walikuwa-hamnazo-kweli.html
Nimekuta hii kwenye mtandao
watu maarufu walio wahi kuoa mabinamu zao
Albert Einstein na Charles Darwin pia wamo
imenishangaza kidogo
niko curious na hili,why wanasayansi maarufu kama wao
wali share hii kitu
au kwa kuwa wote hawakuwa na imani za kidini?
cc Kiranga Gaijin Nyani Ngabu..
Yahoo! Shine - Women's Lifestyle | Healthy Living and Fashion Blogs
mbona nyie mnawajadili wanawaume wenzenu wameoa mabinamu? kama mko jidah mnaweza katwa na jambia!
kama vipi haina tatizo kama hujaoa unaweza jitwalia Mwali ukaoa tu...
kwani we mipango yako ipo vipi?
Kujadili si kuuliza, hawa watu washakufa, ni public figures, kuna mtu kauliza maswali yamemtatiza tunafanya hisani ya kueleweshana.
Huwezi kunikamata hata siku moja nimeanzisha thread ya kujadili sababu za mwanamme kuoa, naweza kuelewa mwanamke akianzisha thread hiyo, au mwanamme akianzisha thread ya kutaka kuelewa sababu za mwanamke kuolewa, lakini mwanamme kumuingilia mwanamme mwenzake anavyooa kuna kitu hapo si kosher kama si kwashiorkor kabisa.
Ndiyo nyie nyie mnaooza vitoto Afghanistan. Ushaelewana naye huyo Mwali?
Again hili swali si kosher kwa mwanamme kumuuliza mwanamme.Mimi naweza kujibu watoto wanawake tu swali hili.
Nikikwambia mipango yangu mimi basha nibong'olee utaniambiaje?
I did not want to go there, and I am not "basha", but it seemed like you are forcing the issue.
Maswali mengine fikirini kabla ya kuuliza.
We junya nini?
Kama akiibuka mtu akasema Mental health sio tatizo kwa sababu Eistein alikuwa hivyo na kusababisha mambo chanya kwenye maisha atakuwa amekosea?
Nimeshangaa kidogo kusikia huyo mtu alikuwa na hiyo makitu!!!!
kwani hujui anaamini katika sayansi?Umejuaje?
Amekuambia????
There is a thin line between genius and crazy.
Wakati wengine wanaona kama autism na obsessive compulsive kama mental/ neurotic disorders, kuna kampuni limetoa tangazo la kazi linataka watu wenye hizo conditions tu kwani wanaonekana kuwa focused sana kwenye kazi.
The same mental issues Einstein had are probably the same factors that are responsible for his exceptional insight, plus of course he grew up in a Jewish culture that valued education for thousands of years.
Even a broken clock is right twice a day. Uzuri wenzetu wanajua utu na kumtumia kila mtu kwa sehemu yake. Nishaona jamaa mmoja ana matatizo ya akili mpaka motor skills zimekuwa severely challenged, lakini anafanya kazi kwenye supermarket anapanga bidhaa vizuri, na mcheshi sana tu ingawa hayuko alright upstairs, watu wanampenda na yeye anawapenda, anapiga kazi vizuri kuliko wengine wenye akili sawia.
Huku kwetu bonge la stigma utafungiwa ndani.
Go figure.
But I digress.
kwani hujui anaamini katika sayansi?
Ndio maana huku kwetu uswazi maprof na ma-dr tunawaona wehu tu, sababu hatuongei mambo tukaelewana.
There is a thin line between genius and crazy.
Wakati wengine wanaona kama autism na obsessive compulsive kama mental/ neurotic disorders, kuna kampuni limetoa tangazo la kazi linataka watu wenye hizo conditions tu kwani wanaonekana kuwa focused sana kwenye kazi.
The same mental issues Einstein had are probably the same factors that are responsible for his exceptional insight, plus of course he grew up in a Jewish culture that valued education for thousands of years.
Even though you've never heard of Kim Peek, chances are you've heard the movie Rain Man. Kim was the inspiration for the character played by Dustin Hoffman in the movie.
Kim Peek was born with severe brain damage. His childhood doctor told Kim's father to put him in an institution and forget about the boy. Kim's severe developmental disabilities, according to the doctor, would not let him walk let alone learn. Kim's father disregarded the doctor's advice.
Till this day, Kim struggles with ordinary motor skills and has difficulty walking. He is severely disabled, cannot button his shirt and tests well below average on a general IQ test.
But what Kim can do is astounding: he has read some 12,000 books and remembers everything about them. "Kimputer," as he is lovingly known to many, reads two pages at once - his left eye reads the left page, and his right eye reads the right page.
It takes him about 3 seconds to read through two pages - and he remember everything on 'em. Kim can recall facts and trivia from 15 subject areas from history to geography to sports. Tell him a date, and Kim can tell you what day of the week it is. He also remembers every music he has ever heard.
Jedediah Buxton, born in Derbyshire, England, in 1707, couldn't write. By all accounts, he has no knowledge of science or history or anything else for that matter except for numbers. Jedediah, as it turned out, was one of the world's earliest mental calculators and savants.
Everything was numbers to Jedediah - in fact, he associated everything he saw or experienced with numbers. He measured the area of the village he was born in simply by walking around it. When he saw a dance, his whole attention was to count the number of steps of the dancers. At a play, Jedediah was consumed with counting the number of words uttered by the actors.
The mental feat of Jedediah Buxton was tested by the Royal Society in 1754 - his mathematical brain was able to calculate numbers up to 39 figures.
Maprof na Madoc wa wapi? UDSM? Mzumbe? Tumaini? Au wapi hasa?
Ambao nishaishi miongoni mwao na kujumuika nao katika shughuli mbalimbali wote walikuwa ni watu wa kawaida sana. Sikuwahi kushindwa kuwaelewa hata kidogo.
Kama watu wengine tulivyo, hata wao walikuwa na haiba tofauti tofauti - walikuwepo walevi (wa pombe za kisasa na zile za kienyeji), walikuwepo wazinzi, walikuwepo mishen-town, mazoba, washamba, mashapu, wajinga wajinga, werevu, na kadhalika, na kadhalika.
Maprofesa na madokta wafundishao vyuo vikuu ni walimu tu. Hawana umahsusi ama utofauti wowote mkubwa na sie raia wengine.