Alaumiwe nani kati yao hawa

Haya mambo yapo jamani halafu yanauma sana, kama haijawahi kukutokea tema mate chini isikutokee. Yani unajikuta umekata tamaa ya kuwa na love of your life coz mmepotezana, so unaenda kwa alternative number mbili, baadae ndio anaibuka kutoka huko alipotokea, kaoa na wewe umeoa. Binafsi ilishanitokea na inanifanya niishi maisha ya mawazo wakati mwingine, na yy pia lakini tunajaribu kukaa mbali na kukubali hali halisi.

Bora na wewe umelitambua hilo? ILA SIJUI MBELE KUNA NINI KWA MAANA MME WA DADA NAE NAMUONEA HURUMA MIKIKI MIKIKI ANAYOPATA.kwa sababu linatulia harafu linaibuka tena hadi kufikia point washauri wanajitoa.
 
kwa mujibu wa maelezo ya dada anasema Bado hajaoa kwa kuwa kavurugukiwa na tukio hili na anang'ang'ania kuwa dada ndiye chaguo lake tangu zamani.

Kwa ushauri wangu huyom dada yako afanye uchunguzi kama kweli Roger hajaoa inawezekana anamdanganya dada yako, kama hajoa waoane tu na huyo Roger maana kwa huyu mwanaume wa sasa ni kama anajilazimisha....i...halafuuuu maswala ya afya zao nayo yamezingatiwa.......maana kusemakweli Roger simuamini kabisa.
 
Kusema ukweli hata mimi simuamini Roger maana nilidhani walikuwa wanasubiri ajifungue ili wafunge ndoa ila naona baada ya hapo kuna miaka mingine 3 ambayo huyo dada yako alikuwa home kwa sababu ya ugomvi na huyo mumewe. Ina maana hiyo miaka 3 yote Roger alikuwa anajilia tu vyake kwa kisingizio cha kumuoa lini?????
 
Kusema ukweli hata mimi simuamini Roger maana nilidhani walikuwa wanasubiri ajifungue ili wafunge ndoa ila naona baada ya hapo kuna miaka mingine 3 ambayo huyo dada yako alikuwa home kwa sababu ya ugomvi na huyo mumewe. Ina maana hiyo miaka 3 yote Roger alikuwa anajilia tu vyake kwa kisingizio cha kumuoa lini?????

Unajua muda ule ni kuwa kama Roger angeamua kumuoa inaamaana amuibe dada na kwenda mbali nae ila kwa jinsi nnavyomuona anakuwa 50-50 sijui kwa nini labda yeye ndo anajua zaidi.
 
kosa ni la dada yako
baada ya kukosa msimamo toka mwanzo
inabidi akubali kuendelea kuishi na huyo mume aliyenaye
vinginevyo ataharibu kotekote na atakuja kujuta
 
Mpelekee Kanumba aitungie movie make ni tamu japokuwa haukuimalizia. Bt R alikuwa na mapenziya dhati mpaka hapo ulipofikia.
 
Hapo dada yako hana msimamo, mimi ningetoa ushauri kwa huyo mume wa sasa wa dada yako aachane na dada yako maana anajiumiza tu. Ila mpe ushauri dada yako awe na msimamo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom