Eti wana JF iyo alama ya moto(mwenge) kwenye herufi ya mwanzo ya jina la Magufuli(M) ina maana gani...
Na je nani mbunifu wa hiyo alama?
Mwenye ufaham anijulishe....
Magufuli anatuletea NURU ya kiuchumi, kisiasa na kijamii...Fanya maamuzi sahihi
Hilo giza limesababishwa na rais wa UKAWA baada ya kutuletea kampuni hewa la kufua umeme
Nauhakika hata wewe ukiambiwa uelezee ulichopost hautawezaMbona familia yake haina hayo??
Mwenge wa watz ni uchawi wa kizanaki. Inawezekana Magufuli keshapewa kijiti kwa ajili ya kuwaroga watz. Mwaka huu uchawi au bila uchawi lazima kieleweke
Nauhakika hata wewe ukiambiwa uelezee ulichopost hautaweza
Mwenge unalifirisi hili taifa. Siupendi kabisa
Pamoja na kuwa siipendi ccm lakini inafika mahali naionea huruma sasa, inakuwaje mgombea wa chama atende kama mgombea binafsi /huru kuanzia mabango picha hotuba mpaka ahadi?
Tatizo ni la nani hapa? Chama au mgombea au timu ya ushindi? Kuna shida mahali tena kubwa sana.. Neno ccm halionekani popote
Hilo giza limesababishwa na rais wa UKAWA baada ya kutuletea kampuni hewa la kufua umeme
Mbowe kakwambia kuwa mwenge unauchawi wa kizanaki basi nawewe ukakubali hivyohivyo, baadala ya kuchanganya na zakoumewai kusikia wazir mkuu anasain mkataba.....yeye kawajibka kutokna na kosa la mawazri wake..kufanya ovyoo
Hilo giza limesababishwa na rais wa UKAWA baada ya kutuletea kampuni hewa la kufua umeme
Pamoja na kuwa siipendi ccm lakini inafika mahali naionea huruma sasa, inakuwaje mgombea wa chama atende kama mgombea binafsi /huru kuanzia mabango picha hotuba mpaka ahadi?
Tatizo ni la nani hapa? Chama au mgombea au timu ya ushindi? Kuna shida mahali tena kubwa sana.. Neno ccm halionekani popote
Usijali...white hair atakuwa anakaribishwa whitehouse kula kipau na tende kipindi cha xmas na EidAt least umemkubali kuwa ni rais, waambie mabosi wako wajiandae kuisalimisha white house kwa White hair!
Mshana kuwa fair, sijaona tofauti ya ujumbe wa Lowasa na Magufuli unless uprove, kuna mabango mengine ya Lowasa hata tunashindwa kuelewa tunachagua Lowasa, CHADEMA ama UKAWA? na mengine yameandika chagua mabadiriko.