alama ya L

alama ya L

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
Jamani naomba kuuliza..wenzetu ambao hujifunza kuendesha gari,utakuta alama ya (L) imebandikwa kwenye gari ikiwa na maana ya lena! sasa tukija kwa wale wanaojifunza kuendesha ndege,meli au treni..nazo pia huwekewa alama ya L?
 
duh! Swali la kipima baridi nini?
abiria wa ndege wakikuta alama ya L...watabaki ndani?
 
Back
Top Bottom