kibombonya
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 324
- 559
Habarini wakuu, pilika na harakati za maisha ya kila siku yanaendaje!? Wenye changamoto ya afya poleni Sana, mola atawanafuu.
Bila kupoteza Muda Sana leo nmefikiria nishushe mzigo ulionielemea kwa miaka Zaid ya kumi sasa (10+) lakin naona Kama Jana tu limetokea; Ilikua hivi, baada ya kumaliza kidato Cha nne (2006) niliingia mjini (rock city)kutafuta riziki Kama kijana, na katika harakati za kutafuta michongo ya kazi (asilimia kubwa vibarua) ndipo siku moja tukaangukia nyumba moja mitaa ya Butimba (wakazi wa Mwanza watakua wanapajua) kupiga kazi ya kurekebisha ukuta ulioanguka na mvua. Basi tulianza kaz Kama kawaida wakati huo nikiwa namsaidia tu fundi, kubeba tofali, siment kuchanganya udongo nk.
Tukiwa katikakati ya kazi mida ya mchana, ndipo alipotokea binti (nimbatize jina Happy) akatukalibisha ndan kwa ajili ya chakula Cha mchana, kiukweli nilizuzuka Sana na kilakitu kuhusu yy, kiufupi tu alikua mrembo Sana aliemvutia kila mmoja wetu! Baada ya chakula kuisha tukarud kuimalizia ile kaz then tukavuta chetu (posho) tukasepa. Zikapita wiki kadhaa na nkamsahau kabsa Kama nishawahi kukutana na binti aliyeutingisha mtima.
Siku moja nko zangu Kati (mjini) ndipo bila kutaraji nikakutana tena na Happy akiwa na wifi yake basi nkawachangamkia pale na Salam za hapa na pale then nakawauliza kipi kimewaleta town wiki yake akasema wako kuitengeneza simu yake mbovu, basi nikaomba tubadilishane mawasiliano in case kazi ikitokea tuitwe tena "akakubali" but sim ndo vile tena mbovu, ikabid amwambie Happy achukue namba yangu ili simu ilipona atanipata kwake, nikampa namba pale tukaachana.
Ikapita tena Kama mwezi hivi kipindi hicho ile chombeza time ndo inabamba kipindi hicho, full kupigiana simu adi zinachemkia sikioni kulala sa9/10 ilikua kawaida Sana (najua wengi mlipitia haka kakipindi), basi ile nimeingia zangu kwa bed nasubir time tuliamshe na chombeza kakimeo kangu kakaita, kupokea naskia saut ya kike, baada ya salama na nn! Nkauliza nan!? Mtoto akajib Happy, yaan baad ya kuskia vile nilipataga mshtuko wa ajab wa moyo as if ulitaka kupasuka bas story zkawa nying adi mida mibaya (sa8 ivi nkmbka).
Kutokea Hapo Sasa ndo ikawa Kama tumefungulia maana ilikua ni full day ni text & calls na uck tunakesha Kama kawa (bila kumtongoza apo), uck mmoja baada ya kuchat sn mambo ya mapenz (sex through the phone) ndipo mtoto akanichana live kwamba ananipenda na Kama vp niwe nae, du! Sikuamin asee, jibu lilikua ni kesho yake niende tu kwao tukaonane! Ile asbh kumekucha nliona sku haiend kabs kufika jion, Mara sa10/11 hii hapa, bas nkaanza safar mdogo mdogo nkachkua daladala adi kwao nkameet na Happy, hakika alikua mrembo Sana hakua kavalia kivile but simple tu kinyumban kaflana na kanga nyepesi, akanipa hug (alikua anasmell poa sana/unyunyu) tukatafuta place nzur tukatulia na story zisizo na kichwa wala miguu zkaanza.
Mara giza hili apa bas utafikir tulikua tunasubiri liingie maana gafla stor zikakata badala yake nkajikuta namvuta asogee karb, ile kushika tu kiuno mtoto alijaa mzima kifuan mikono kanizungushia mabegan! Gafla analeta lips nkazipokea tukaanza kudendeka, nikiri to Happy was a good kisser than me, chap nkakimbilia kupapasa vichuchu vyake huku nkirudi kwenye makalio, mtoto kavaa kanga na chup* tu bas nkapenyeza mikono chap nakatalii vya kutosha eventually tulizidiwa tukapiga mechi ya dkk5 tena tukiwa tumesimama (uzuri ilikua kwny mawe na hakuna watu & giza la saa1 uck). Tangu hapo ndipo pazia la mapenzi likafunguka
Yalikua ni mapenzi yaliokua kwa kasi sana, baada ya miez michache mbele nkapata shavu kwenye kampun moja ivi (kazi za kindugunaization/kujuana) nkaanza matunzo kwa Happy na bahat mbaya au nzur wifi yake alikua Hana kazi na alifiwa na Kaka yake happy, so walikua wanaishi kigumu Sana! Mzee mzima nkatake responsibility kwa kilakitu kuhus maisha yao ya kilasiku, maan nlikua naacha karibu buku5-10 daily, uzur tu kaz nliyoipata ilikua inaruhus mazingira ya kupata pesa kila cku (sie wa chini kutoka na 20/30 per day ilikua kawaida)
Basi Ile hali ya kuhudumia niliimudu vema, kiufup tuliinjoi Sana life na Happy, sex tulipiga Muda wowote, sehem yoyote tulipojiskia ikafika kipind ikawa Kama addiction flan hivi maan outdoors zlikua nyingi kuliko kawaida, nakumbuka day moja ilikua jpil nko kwao katenga tea tunapata breakfast sebulen wifi yke akafata mboga buchan nasis without second thought pale pale sebulen tukaanzisha mechi ambayo goli lilishindikana kbsa kutoka haraka akatoa wazo tuzame chumban tukamalizie, namie nkakubal tukazama mechi ikaendlea "apo ni mwendo wa kusogeza chup* tu Pembeni na kupeleka mashambuliz, bila kujua tumetumia mda gani ile tumemaliza tunatoka sebulen nashangaa kumuona wifi yake kakaa anakata mboga!
Kiukweli nilijiskia noma Sana nkaaga kiaibu aibu nkasepa. ( To shorten the story) Kile kikazi kilikuja kuota nyasi baada ya kampuni kubadilishwa (celtel to Zain) na alienipa shavu alienda kusoma, so ukapita Muda nko kitaa again but ikapita Muda nkapata kibarua kingine Tabora (anko alinionganishia tena) ndo ukawa mwanzo wa kutengana na Happy.
Tabora life sikuifurahia kiviiile coz Kwanza skua town (nlikua sehem moja inaitwa mabama) Kuna shirika lilikua linaitwa millennium Basi nkawa napiga job kule na mawasiliano na Happy yanaendlea Kama kawaida na miamala inahusika Kama kawaida, nakumbuka siku moja nikiwa na mwana nikapata wazo la kumjaribu Happy kama bado ni muaminifu kwangu, nkashauriana na mwana (mshkaji/rafiki) nikampa namba akamcall then ajarib kumtongoza, simu tukaweka loud speaker ili Kama Dem akimuuliza swali ambalo jamaa atakua halijui kuhus yy namsaidia kujibu (kwa kumuandikia kwwy kidaftari kwa haraka sana) Basi jamaa akaongea nae Kama saa1 hvi na mtoto alionekana na msimamo bab kubwa, mshkaji akanipa hongera za kutosha pale then tukaachana!
Sijui ni nin kiliendelea baina ya mshkaji wangu na mpenzi wangu but nkaanza kushangaa Mara nkimcall hapokei simu kwa wakat na nisipomcall bas ndo hanitafut tena though ameziona misses calls zangu, nakawa najarb kuuliza nn kimetokea anajib tu nothing happened and she's fine, nikaanza kupata mawazo meng juu yake kwa mabadiliko ya ghafla, ikafika time nisipomtafuta nayy ndo kimya jumla hata 3 days! Wakat huo nlikua nawaza kumchumbia maan adi home nishampeleka na sisters wangu, brothers wanamjua adi mother ingawa ilikua bado sio official.
Naikumbuka siku ya jumanne ya tareh 12/10 nko zangu bize na wakulima pale kijijin nikaanza kuskia tu story kua mshkaji kamleta mchumba wake, demu mkali Kijiji kizima haijawai kutokea, Basi nkamcall jamaa nkamuuliza "oya mbona hatupeani report mwana, naskia umemleta Shemeji kimyakimya hujaniambia" Basi jamaa alinijib usijali mwana ntakucheki mida uje msalimiame.
Basi nkawa mpole, wakati huo kila nkimtext Happy hajibu wala nn. Nkawachukua washkaji zangu wengine tukaingia kitaa (kibush bush) ile tunakatiza mitaa ya centre gafla nkahis Kama kitu kinaniambia geuka! Ebhana ile napiga jicho hivi upande wa pili naona watu wamejaa dukan kwa mshkaji (jamaa alikua mtumishi) ikabid namm nisogee ili nkamcheki kabsa Kama yupo!
La haula namshuhudia mtu niliyehis namjua lakin nkawa nakosa uhakika Kama ni yeye, kila nkimuangalia namuona kabisa kwamba ni Happy lakin akili inakataa kabisa kukubali kwakua kila nikiwaza naona haiingii akilini, Happy nimemuacha Mwanza mjini na huku Hana ndg, hapajui,ni kijijin ndani ndani hivi, ikabidi nimuulize Zaid ya Mara nne "wewe ni Happy?" Akajibu ndio mim (jaman hii hali usiombe ikukute ni Kama vile umekutana na mzimu au mtu aliyekwisha fariki kitambo afu unamuona hai tena) nikajikuta nakosa la kusema nkakaa kimya kama dakika 5 bila kufanya chochote maana nlipata mtirirko wa matukio Zaid ya buku kwa wakati mmoja nakaishia kumuangalia tu, wakati huo yeye anaendlea tu kama hanijui kuhudumia watu pale dukan.
Kumbe yule mshkaj wake (nimbatize Steve) aliponiona pale akahis ntamletea Fujo Basi akamcall anko wangu akaanza kumjaza maneno ya uongo (jamaa ni mtu wa Tanga, anaongea balaa) kua nimefika pale dukan kwake nameletea vurugu mchumba wake kumbe alimcall na mtendaji wa Kijiji akampanga pia uongo kua nilimtongoza uyo mchumba wake aliponikataa basi nimemtishia kua nitamkodia watu wawadhuru, so kwakua mtendaji alikua anamfaham anko (alikua maarufu Sana pale bush) ikabid mtendaji amwambie anko anihamishe kesho yake asbh na mapema kwa Usalama wangu.
Wakati mie ndi naanza kuongea na Happ kua imekuaje Yuko pale na mbona hajaniambia lolote na wamejuanaje na Steve hata majib hanipi ya kueleweka Mara anko huyu apa na pikipiki yake akanibeba kubabe, tunafika home najarib kumuhadithia anko haelew somo! Kanipa nauli pale kwakua ilikua imefika usiku Basi akaniamuru nipange nguo zangu asbh safar ya kurud home ichukue mkondo wake!
Siku hiyo sikula wala kupata usingiz, mida ya saa6 hivi nkatoka Kama naenda toilet nikapitiliza adi anapoishi mwana nkaskilizia dirisha niliyoyasikia yalinifanya nipigwe ganzi mwili mzima Yan senses zko on but mwili umesiz ( hii sehem imenifanya nihis maumivu ya moyo kwasasa ni Kama naliona lile tukio, sitalielezea Sana) niliskia sauti iliyokua ikinililia wakati nikiwa juu ya kifua chake na kunifanya nijione kidumu dunia nzima hakuna (alikua anajua kulia haswa kwenye mapenzi tena kwa ule mtindo wa kutaja jina) ***** ulaaniwe happy huko ulipo.
Nashukr alitokea mlevi mmoja hivi alikua ananifahamu akanitoa pale akanisindikiza adi home, asbh na mapema nkapelekwa na pkpk adi kweny gar nkapakiwa safar ya home ikaanza. Niliisha mwili balaa, ndan ya wiki yalibaki masikio na kichwa tu, macho meupeee! Vimabega Yan kula hamna appetite, kulala usingz mref ni saa1 au mawili then mawazo ni non-stop! Namshukur Mungu kaumbia kusahau, ingawa ilinichukua Muda lakin nilikaa poa na maisha yakaendlea, nikajiendeleza kimasomo nikagraduate udsm nko na wife na two kids now maisha yanaenda POA Zaid ya jana!
NB: Sorry kwa story ndefu na uandishi wa haraka haraka, cz sio muumini wa episodes, you may share yours
Sent using Jamii Forums mobile app