NIFEDIPINE
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 216
- 226
Nadhani kwa wale ambao walikuwa hawaelewi dhana ya Big Result Now somo sasa limeeleweka.Jambo hili lingeanzia Dodoma Bungeni wala tusineshangaa sana maana ni wanasiasa na wengi ni vilaza.Lakini kwa mastaajabu limeletwa na Professor aliyeaminika kuwa na weledi mpana katika Elimu.Nadhani hii ni siasa kuelekea 2014-2015,na hakika mchezo wao ni mauti kwa Taifa!
lakini nchi za wenzetu hata watoto wa nursery anajua b plus inaanzia ngap
Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?
Angalia za High Schools US
A----90-100%
B----80-89%
C----70-79%
D----60-69% (still a pass)
F----0-59% (failure)
US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students grading zao ni:
A----93-100%
B----85-92%
C----77-84%
D----70-76%
F----69% and below
Ukitafuta GPA kwa US
A----4
B----3
C----2
D----1
F----0
Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.
Cheki grading za Scotland kwa sekondari
A----70% and above (excellent)
B----60-69% (very good)
C----50-59% (improvement needed)
D---45-49% (close fail)
F----below 45% (fail/no award)
Cheki za England kwa A-level
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
F----below 49%
Hizi ni za bondeni
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
E----40-49%
F----35-39%
FF---- 30 - 34%
G----20 - 29%
H----10 - 19%
I----0 - 9%
Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:
Normal pass----50-59%
Pass with merit----60-79%
Distinction----80% and above
Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
ipogolo mkuu mabadiliko yote yaliyofanyika ni mazuri sema watu hawajaelewa. Na ofcoz panakuwa na standard ambazo zinawachuja watoto wenye uwezo na wanajulikana mapema
unachokiongea hukijui hakuna shule itauopeleka CA ndogo kuepuka aibu... ivi unajua kwamba mwanafunzi mwenye CA ya 40 final akipata tu 2/60 tayar ana C.
kwanini hili lisiingizwe kwenye maajabu ya Tanzania watu wakaja wakaona wakalipia kivutio hiki kipya cha utalii.
Tuwaombe wizara waweke fees ndogo kwa watalii wa ndani na kubwa kiasi kwa wa nje watakaotaka kujua jinsi mfumo huu unavyostajabisha
Lakini nisichokubaliana na watu ni kusema madaraja mapya yanafaulisha. Wanaacha fact kwamba pia inaweza kutungwa mitihani yenye viwango vinavyoendena na madaraja hayo.
By th way mitihani ya mwisho bado sio kipimo kizuri cha kung'amua mwanafunzi mwenye uwezo wa akili, is the only method tunayoitumia kw sababu bado hatuna njia muafaka
Lakini wenzetu wana continuous assessment, hawategemei mitihani ya mwisho tuu.
Siku hizi shule za private ukipeleka mtoto, wanampa A, masomo yote, lakini ukimkalisha na watoto wa shule kama za seminary anabakia anatoa macho.
Mwalimu Charles Mkwidu ambaye ni mratibu wa Kituo cha Elimu ya Watu Wazima, alisema mpango huo ni mzuri ila uwekewe mkakati wa kuwasaidia wanafunzi kupenda kusoma, hasa masomo ya sayansi kwani wengi husoma wakati wa mitihani tu.
Naye mwanafunzi anayerudia mitihani, aliyeathiriwa na matokeo ya mwaka jana, Jesca Charles, alisema huenda ikawasaidia au la kwa kuwa mitaala ya elimu ndiyo iliyowaponza hadi wakafeli.
Naye mwalimu wa vituo vya elimu ya Taasisi ya Watu Wazima, Stanslaus Sekuru, alisema kuwa mfumo huo utaboresha elimu kwa sababu hapo awali wanafunzi walikuwa wakiumia sana.
Alitolea mfano daraja la nne akisema mwanafunzi anakuwa na alama 26, lakini akiwa na alama C tatu anashindwa kuendelea na kidato cha tano na mwenye daraja la tatu mwenye alama 25 na C tatu yeye anapewa nafasi ya kuendelea.
Hii nondo kaka nimekukubali. Ingefaa ingeandaliwa Forum nyingine au mdahalo wa wazi ili wenye nondo kama hizi wazimwage ili hiyo system iliyoanzishwa iwe revisited and modifiedKwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?
Angalia za High Schools US
A----90-100%
B----80-89%
C----70-79%
D----60-69% (still a pass)
F----0-59% (failure)
US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students grading zao ni:
A----93-100%
B----85-92%
C----77-84%
D----70-76%
F----69% and below
Ukitafuta GPA kwa US
A----4
B----3
C----2
D----1
F----0
Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.
Cheki grading za Scotland kwa sekondari
A----70% and above (excellent)
B----60-69% (very good)
C----50-59% (improvement needed)
D---45-49% (close fail)
F----below 45% (fail/no award)
Cheki za England kwa A-level
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
F----below 49%
Hizi ni za bondeni
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
E----40-49%
F----35-39%
FF---- 30 - 34%
G----20 - 29%
H----10 - 19%
I----0 - 9%
Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:
Normal pass----50-59%
Pass with merit----60-79%
Distinction----80% and above
Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
Nakubaliana na wewe 100%. unajua tz kuna tatizo la watu kupinga kila jambo, wengine nadhani hata huwa wanajiandaa kupinga tu hata kabla mtu hajamaliza kuandika au kuongea. For what i beleave is that " RIGIDITY IS THE BARRIER FOR SUCCESS ' BUT' ACCEPTING A NEW IDEA ALWAYS YOU CAN CROSS SOO MANY ZEBRA AS YOU GO FAR. Pia kuna msemo Reginald Mengi anapenda kuutumia kuwa watu wengi hawapati mafanikio kwasababu ya KUOGOPA KUTHUBUTU. So tumuache Prof Mchome aendelee na idea yake na mbeleni ikionekana haina tija basi itawekwa pembeni , so far ameshirikisha wanazuoni wengi kiushauri and it is not a one man Job. Wenzetu wazungu huku wanazidi kupiga hatua sababu ya kuthubutu kutumia njia MPYA.Huyo Sifuni mchome ni product ya UDSM, kasoma degree and masters hapo hapo (law) akaenda marekani for phD. Na amewahi kuwa dean hapo kitivoni udsm.
Jamaa ana akili sema watz hawataki mabadiliko which is th big problem now. Kama mabadiliko yana facts za kisayansi lazma tuyakubali hayo mabadiliko.
.Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?
Angalia za High Schools US
A----90-100%
B----80-89%
C----70-79%
D----60-69% (still a pass)
F----0-59% (failure)
US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students
grading zao ni:
A----93-100%
B----85-92%
C----77-84%
D----70-76%
F----69% and below
Ukitafuta GPA kwa US
A----4
B----3
C----2
D----1
F----0
Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.
Cheki grading za Scotland kwa sekondari
A----70% and above (excellent)
B----60-69% (very good)
C----50-59% (improvement needed)
D---45-49% (close fail)
F----below 45% (fail/no award)
Cheki za England kwa A-level
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
F----below 49%
Hizi ni za bondeni
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
E----40-49%
F----35-39%
FF---- 30 - 34%
G----20 - 29%
H----10 - 19%
I----0 - 9%
Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:
Normal pass----50-59%
Pass with merit----60-79%
Distinction----80% and above
Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)
.Kwa hiyo nchi za wenzetu wana classification za kuongeza ukubwa wa goal post kama yetu?
Angalia za High Schools US
A----90-100%
B----80-89%
C----70-79%
D----60-69% (still a pass)
F----0-59% (failure)
US pia wana mfumo tofauti kwa honour students; siyo kama Tanzania inavyofanya. Hounour students
grading zao ni:
A----93-100%
B----85-92%
C----77-84%
D----70-76%
F----69% and below
Ukitafuta GPA kwa US
A----4
B----3
C----2
D----1
F----0
Ingawa shule nyingine uongeza .33 kwa grade iliyo ya juu na kutoa .33 kwa grade ya chini.
Cheki grading za Scotland kwa sekondari
A----70% and above (excellent)
B----60-69% (very good)
C----50-59% (improvement needed)
D---45-49% (close fail)
F----below 45% (fail/no award)
Cheki za England kwa A-level
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
F----below 49%
Hizi ni za bondeni
A----80% and above
B----70-79%
C----60-69%
D----50-59%
E----40-49%
F----35-39%
FF---- 30 - 34%
G----20 - 29%
H----10 - 19%
I----0 - 9%
Lakini kuanzia E hadi I ni mbwembwe tu kwani wameweka madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya mwisho ni:
Normal pass----50-59%
Pass with merit----60-79%
Distinction----80% and above
Sasa fananisha na uharo ulioletwa na wizara iliyochini ya wasomi (Dr. Kawambwa, Prof. Mchome, Prof. Temu, Prof. Balalusesa, Prof. Mbenda)