Mapico JF-Expert Member Joined Apr 17, 2019 Posts 570 Reaction score 1,319 Apr 25, 2019 #1 Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii?
Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii?
A Aichase Member Joined Jan 14, 2019 Posts 68 Reaction score 62 Apr 25, 2019 #2 Mapico said: Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii? View attachment 1080316 Click to expand... Registered trade mark symbol.
Mapico said: Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii? View attachment 1080316 Click to expand... Registered trade mark symbol.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,583 Apr 25, 2019 #3 Tukiwa tunawasubiri wajuzi. Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
Tukiwa tunawasubiri wajuzi. Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
Mapico JF-Expert Member Joined Apr 17, 2019 Posts 570 Reaction score 1,319 Apr 25, 2019 Thread starter #4 Aichase said: Registered trade mark symbol. Click to expand... naweza nikasema ni kama tbs kwa hapa Tanzania?
Aichase said: Registered trade mark symbol. Click to expand... naweza nikasema ni kama tbs kwa hapa Tanzania?
Mapico JF-Expert Member Joined Apr 17, 2019 Posts 570 Reaction score 1,319 Apr 25, 2019 Thread starter #5 Kichwa Kichafu said: Tukiwa tunawasubiri wajuzi. Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao. Click to expand... kwa Tanzania je tunaitumia hiyo maana nyingi naona ni bidhaa za nnje tu
Kichwa Kichafu said: Tukiwa tunawasubiri wajuzi. Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao. Click to expand... kwa Tanzania je tunaitumia hiyo maana nyingi naona ni bidhaa za nnje tu
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,822 Apr 29, 2019 #6 Hiyo inamaanisha jina lako la biashara limesajiriwa kisheria na mtu yeyote akilitumia then anakiuka sheria......
Hiyo inamaanisha jina lako la biashara limesajiriwa kisheria na mtu yeyote akilitumia then anakiuka sheria......