Alafu mafuta yameisha

Alafu mafuta yameisha

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
10996163_778507935532045_3927100182325079801_o.jpg
 
usithubutu kukutwa......................
 
Hana madhara, SIMBA wa kutumwa anamsubiri mbaya wake
 
...sasa ukizimia ndio utageuka majani kwa simba?

Ungekua wewe ungefanya nini? je unambio kuliko simba kwamba utakimbia? hapo ni kwenye anga zake mti gani utapanda kumshinda yeye? je unamjua simba na sababu za kufika hapo? ambaye hatazimia hapo ni jamii yakimasai labda na wawindaji tu.
 
Mbona jamaa kashuka kwenye pikipiki? Au photoshop?
 
Ungekua wewe ungefanya nini? je unambio kuliko simba kwamba utakimbia?

Kwa nini kuandikia mate na kuna wino...pikipiki itahusika hapo...

hapo ni kwenye anga zake mti gani utapanda kumshinda yeye? je unamjua simba na sababu za kufika hapo?

Sio muda wote simba huwa anafanya uwindaji na hata akiwa anawinda huwa hajiweki mahali pa wazi kama hapo alipo...
 
Back
Top Bottom