Alaaa Kumbee!

Alaaa Kumbee!

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,802
Reaction score
49,109
dirty-mind.jpg
 
Omba msaada kwa Invisible akurekebishie heading kabla hujaparuliwa usoni.
 
Last edited by a moderator:
Mm hiyo allah haijanisumbua ila kiingilishi ndio imedunda hebu fanya kwa lugha ya taifa
 
hii ni kweli. nina ushuhuda kwa hili

Nilikuwa na marafiki zangu walikuwa serious sana na maisha. Nilijaribu kucope nao ili na mimi nijione nimekuwa mkubwa, mabo yaka si mambo. kila kitu kilikuwa kigumu kwangu.
Nikaamua nirudi kwa vichaa wenzangu, nikajikuta happy sana hadi maisha yakawa simple sana.

Mpaka sasa i hope uko happy kabisa?
 
Wakati mwingine nakuwa nimetoka kazini na what i might call clear mind, huku kichwa kikiwa na mambo meeengi hadi nashindwa kuona maisha katika mwanga bora, ila nikipitia say Baracuda nikapiga mbili tatu ndo narejea duniani kwenye real world na tabasamu kuuuuuubwa (i wish if ningekuwa na copyrights toka kwa Tyta, ningeiba picha ya smile nalokuwa nalo nikishagida) So this is extremely true miss chagga.
 
Back
Top Bottom