al-Shabab waja na kali ya mwaka

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
192
A radio station run by Somalia's al-Shabab Islamist group has awarded weapons to children who won a Koran-reciting competition.
Andulus radio, based near Mogadishu, gave the group which won first prize in the Ramadan contest an AK-47 rifle and the equivalent of $700 (£450).
The second prize-winners received an AK-47 and $500, while the third prize was two hand grenades and $400.
Al-Shabab, linked to al-Qaeda, controls much of southern and central Somalia.
It recently withdrew from the capital, Mogadishu, where the UN-backed government is in charge.
Four children, aged 10-17, were chosen to represent each district in the competition held during the Muslim holy month of Ramadan, which ended in August.
"Children should use one hand for education and the other for a gun to defend Islam," senior al-Shabab official Mukhtar Robow told the prize-giving ceremony in Elasha, 20km (12 miles) from Mogadishu.
The children were also given religious books.
The BBC's Mohamed Moalimu in Mogadishu says this is the third year the contest has been held.
In previous years, when the competition was organised in the southern port of Kismayo, the first prize included an RPG (rocket-propelled grenade launcher).
Somalia is currently suffering from a severe drought, which has been declared a famine in some areas run by al-Shabab.
Al-Shabab is restricting access to many international aid groups, saying they have a political agenda and are exaggerating the scale of the drought.
 

Dr Kingu

Senior Member
Jun 13, 2011
154
43
Wao mawazo yao makuu ni vita, mauaji na kujitoa muhanga. Kwa hiyo wanawaandaa magaidi wa kesho.
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
837
Mkono mmoja utumike kwa elimu, mwingine kulinda uislam. Kwani vita wanayopigana ni ya kidini?
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,624
1,768
Next year
weapon-of-war-thumb4496129.jpg
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,422
62,477
Kumbe uislam unalindwa kwa bunduki na sio hoja wala vitabu vya dini?
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,824
nasi tanzania ingekua hivyo,ungekuta vijana ni wakakamavu na kuiondoa ccm siku nyingi zilizopita!
 

BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,845
245
Safi sana, laiti ningezaliwa Somali ningekuwa tayari namiliki Mshine ya uhakika.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,922
Mie ningelikuwa na KIFARU changu na ndani ningeliweka mashine ya nguvu ya mziki.... Ningelishindwa, basi ningelimuandikia X-Bit kwa kumuomba "Please Please X-bit, Pimp my Tank (my Ride)."
 

Mipangomingi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,714
2,055
Yap, Na mimi mwakani ntaenda kushiriki nikishinda na kuzawadiwa hiyo AK-47 then JK atanijua kama mi nani. Tihi Tihi!
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,610
6,274
Da! Hayo mashindano ya-kigumu.naitafuta sana hiyo Ak 47,nimeambiwa niagize toka huko mbele.kumbe jamaa wanagawa bwelele.
 

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,026
1,347
Ndio maana Rage yule msomali naye kaja igunga na mguu wa kuku mkono mmoja kuilinda ccm na wa pili....!??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom