livefire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 811
- 395
Hivi hawa Wakenya wana akili kweli? kwenda kuwachokoza Wasomali? hata jeshi lao limejaa wasomali, wanafikiri wale watakubali wakawaue ndugu zao?
Ni kama Aden Rage awe mkuu wa kikosi halafu ukamwabie haya kawanyuke Somalia.
Halafu hawakumbuki US walivyotoka mkuku baada ya askari wao kukashifiwa "live". Wakenya ndio wanajifanya wana nguvu kuliko US?
Kitu ambacho hawakielewi na nnashangaa kwani kuna Wasomali wengi sana Kenya, ni kuwa Msomali agombane na Msomali mwenzake wa kabila au ukoo tofauti ni sawa kabisa, lakini anapoingia mtu mwingine asiye Msomali kujidai kumpiga hata adui yake, wanaacha ugomvi wao wanakushughulikia wewe wakiwa kitu kimoja, wakimaliza, wanaanza tena ugomvi wao. Hapo sasa!
for real the gelling of thoughts by some of you is wanting. No offence...KDF arent playing US only that her strategic interest were threatened and she had to act. Dont act like you know KDFs composition, we are 42 tribes...do the math and try not to be shallow.
Theres alot of ignorance in this forum i must say.