TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,917
- 11,315
wako bahari beach na maeneo mengi Porsche mjiniNilipata kusikia kuwa hawa jamaa ndio wenye majumba na miradi mingi pale Nairobi kutokana na pesa wanazopata kwenye mambo yao ya uharamia na mipango mingi walikuwa wanaifanyia Nairobi,kwa serikali ya Kenya kutangaza vita wakati hawa jamaa wapo mjini na wana kila kitu ni hatari kwa usalama wa eneo husika ndio maana wanaweza kuonesha uwezo wao ndani ya jiji