Al Shabab tenaaa!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Safari hii lile kundi la Al Shabab limelipua bomu kwenye basi na watu 8 wamepoteza maisha mpaka sasa
 
kenya mpaka watajuta kwanini wameingilia vita isiyowahuuu..
mkuumbona huna remose kwa wakenya??

unajua kwamba the war was neccesary as the al shabab wameshafika zambia na mozambique??? do you know uharamia wa majini wote pesa yao ndio inayowashibisha baadhi ya mafisadi tunawaona kwenye vxv8??

do you know kwamba baada ya kenya na ugand ni sisi with or without kuwavamia?? umeshafika arusha ukaona preps wanazofanya ??

have you ever thought kwa nini tumekaa kimya kama serikali kwenye international arena juu ya hili??

Nakua kama sikuelewi vile!!!

sasa unalink vipi kwenda kupambana na wanajeshi kwa kulipua daladala?? I wish ungekua kwenye karinyekarinye la julai walipopiga bomu pale embassy in dar ndio ungeelewa nini kinahusu na nini hakihusu

Jah bless, kuna siku utaelewa kwamba with kenya kwenda somalia or not, this was bound to happen and hiyo accumulation ya arsenals inandelea every country huku kwetu na kibaya zaidi nchi yetu is more porous subiri time will tell
 
Hio inaonesha hawa jamaa washajenga kambi kila kona East Africa ndio maana wameweza kuanza mashambulizi kwa haraka sana.

Majeshi ya East Africa wangejiunga hawa jamaa wasingepata kichwa.
 
mkuumbona huna remose kwa wakenya??

unajua kwamba the war was neccesary as the al shabab wameshafika zambia na mozambique??? do you know uharamia wa majini wote pesa yao ndio inayowashibisha baadhi ya mafisadi tunawaona kwenye vxv8??

do you know kwamba baada ya kenya na ugand ni sisi with or without kuwavamia?? umeshafika arusha ukaona preps wanazofanya ??

have you ever thought kwa nini tumekaa kimya kama serikali kwenye international arena juu ya hili??

Nakua kama sikuelewi vile!!!

sasa unalink vipi kwenda kupambana na wanajeshi kwa kulipua daladala?? I wish ungekua kwenye karinyekarinye la julai walipopiga bomu pale embassy in dar ndio ungeelewa nini kinahusu na nini hakihusu

Jah bless, kuna siku utaelewa kwamba with kenya kwenda somalia or not, this was bound to happen and hiyo accumulation ya arsenals inandelea every country huku kwetu na kibaya zaidi nchi yetu is more porous subiri time will tell

na subiri huo muda maana hawa jamaa walikuwa huko kwao somali wanashambuliana lakini hawa wakenya kwanini wametangaza vita na hao jamaa na kitu chengine hivi ukilinda mipaka yako na bila kuingilia watu wengine unapungukiwa nini mpka sasa sitakaa niamini vita ya kenya na al shabab imesababishwa na al shabab lazima kutakuwa na mkono wa magharibi hapa.
mbona hao walikuwepo kwenye vita tokea zamani lakini kenya walikuwa kimya kilichotuma kukubali vita nini.
 
wana kiherehere sana kenya wakome sasa

Tunapozungumza masuala muhimu nadhani tuache mzaha. Naogopa kusema inawezekana kuna al-shaab humu mbona unafurahia binadamu mwenzako akipoteza maisha, wewe ni mtu wa aina gani?
 
Nilipata kusikia kuwa hawa jamaa ndio wenye majumba na miradi mingi pale Nairobi kutokana na pesa wanazopata kwenye mambo yao ya uharamia na mipango mingi walikuwa wanaifanyia Nairobi,kwa serikali ya Kenya kutangaza vita wakati hawa jamaa wapo mjini na wana kila kitu ni hatari kwa usalama wa eneo husika ndio maana wanaweza kuonesha uwezo wao ndani ya jiji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom