Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Itv inaripoti muda huu kuwa Al shabaab wamevamia kituo cha polisi nchini Kenya na kuuwa askari wanne kwa kutumia risasi, habari zinasema kuwa walikwenda hapo kwa ajili ya kutaka kumtoa mwenzao anaeshikiliwa hapo.
Mapambano bado yanaendelea na sasa kimetumwa kikosi cha reke
kuongeza nguvu.....hali ni tete hivyo tuwaombee ndugu zetu.
Mapambano bado yanaendelea na sasa kimetumwa kikosi cha reke