Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Maelezo kuhusiana na vita na Al shabaab na hali ilivyo kwa sasa yanaendelea on Citizen TV now. Yanatolewa na viongozi na makamanda wa KDF.Fatilia
Hbari za majeruhi wa majirani zetu baadaye kidogo, ngoja tusafishe nyumba yetu kwanza:lol:Mpaka sasa askari wa Kenya waliouawa na al shabaab ni watatu, waliokufa kwa ajali ya ndege ni watano,mmoja alipotea kwenye bahari ya Hindi na majeruhi ni watatu wapo hospital wanatibiwa. Source: Statistics toka kwa msemaji wa jeshi la Kenya-Citizen TV.