Al Shaabab wameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tanzania

Hao watu sio wa kuonea huruma hata kidogo ni kuwadhibiti mapema kabla hawajaleta uchafuzi kwenye nchi...
lkn kuna wtz wengine process za kuwadhibiti zikianza wanapiga kelele mara ooh haki za binadamu!!!! shenz type
Wale ni kutia hata kwenye kiroba mnamtia mtoni mzima mzima ili aone uchungu nae maana wanakata watu vichwa kama kuku wapuuzi sana.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Nakuhakikishia huo ni mkono wa mabeberu, nilifatilia story ya jamaa aliyesumbua Uganda Kama sijakosea ni Joseph Konyi nikajagundua jamaa anawezeshwa na USA kuanzia zana za vita na mikakati yote badae haohao USA wanatangaza dau kwa yoyote atakayewezesha kukamatwa kwake kumbe mission inasukwa na haohao
Cha ajabu eti jamaa wanakuwa na siraha kali balaa, mpk vifaru! Unajiuliza wamepata wapi!
 
Jamaa sijui maandiko yao wanatoa wapi. Yaani jitu linamchinja mtu live na linanawa damu! Jinga sana
Halafa kabla ya kumchinja yanafanya dua na kumtaja Allah.... Waislam jiepusheni na matakataka kama hawa wanao uchafua uislam kwa mambo yao binafsi.
 
Nakuhakikishia huo ni mkono wa mabeberu, nilifatilia story ya jamaa aliyesumbua Uganda Kama sijakosea ni Joseph Konyi nikajagundua jamaa anawezeshwa na USA kuanzia zana za vita na mikakati yote badae haohao USA wanatangaza dau kwa yoyote atakayewezesha kukamatwa kwake kumbe mission inasukwa na haohao
Kama ndio hivyo hao wanaotumwa kuua watu na Marekani wote mashetani.
 
Haki gani inampa mtu nguvu za kuua mtu mwingine?
Hao watu kwenye baadhi ya maeneo mfano Kaskazini mwa Nigeria, maisha yao ni magumu sana ukilinganisha na maeneo ya kusini mwa nchi! Vivyo hivyo eneo la Cabo Delgado, Msumbiji!

Mbaya zaidi wengi wao ni Waislam ambao ni rahisi kushawishika kujiunga na hayo makundi kwa kigezo cha kupata uhakika wa chakula na pia kupitia mafundisho ya upotoshaji kutoka kwa watu wenye nia mbaya.

Mimi pia siungi mkono njia wanazotumia kudai hizo haki zao! Yakiwemo mauaji ya watu wasio na hatia, na pia hiyo ya kutaka kujianzia nchi zao zinazo egemea katika Sheria za Kiislamu (Sharia)
 
Hivi vikundi vya kigaidi msivichukulie powaa vinakuwa undercomtrol na na Washington dc
 
Mkuu umefanya jambo la maana sana na hii inaonesha namna utamaduni wa usalama wa Tanzania ulivyowekwa siyo tu karibu na inner circle ila karibu na kila mtu....naona ardhi ya uzalendo Tanzania ambauo kila mmoja ni sycophant kwa kujua au kutokujua..
 
Ulinzi na usalama ni wajibu wa kila mwananchi. Uzuri wa Tanzania yetu hakuna siri kwa waalifu. Ukipata taarifa toa kwa vyombo husika, wakaangwe kabla hawajamea.
 
Back
Top Bottom