Al Shaabab wameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tanzania

Mmmh!
MUNGU ILINDE TANZANIA NA WATU WAKE.NAAMINI MIPAKA YETU IPO SALAMA NA ITAKUWA SALAMA.
Kwa kinacho onekana katika picha hao madogo hawaja penda kwenda kwa kwa hiyo mijitu
Kwa Tz uzuri kila mtz ni mpelelezi kwa kuchunguza mijitu mijinga kama hii, we uliona wapi mtu ukampigania eti kumlinda MUNGU wa kweli na dini yake? yaani Mungu hana uwezo kutufanya tukiamka asubuhi wote tukaipenda hiyo dini kwa hiyari mpaka tumkatie vichwa vya wanadamu aliowaumba mwenyewe? Something somewhere it,s not right about these guys
 
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana!

Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya mashenzi Al Shaabab yameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tz. Hawa magaidi wanakata watu vichwa, wanachoma nyumba na wanataka kuanzisha Islamic dora as wapo under ISIS. Yes, jeshi la Msumbiji linasema limeurudisha kwenye himaya yao mji wa Palma ila ni mapema kusema ivyo as hakuna mawasilano ya internet. Pia waasi hawa wanaushikiria mji wa Cape Delgado.

Binafsi dawa ya hawa jamaa niionayo huwa ni kuwaangamiza kabla hawajawa imara "eliminate the seedling before it reaches the tree". Mf mzuri ni wale wa Pwani, unawakaanga bila huruma ili ile ideology yao isikue na wasifanye recruitment (kwa ushawishi au kwa lazima)

Je, tumefanya nini cha ziada kuwadhiti hawa wahalifu? Je, wanaokimbilia TZ ni raia tu hakuna Al shaabab?

The early, the better!

Mungu ilinde Tz!!View attachment 1744418
MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Afrika.
 
Hao watu sio wa kuonea huruma hata kidogo ni kuwadhibiti mapema kabla hawajaleta uchafuzi kwenye nchi...
lkn kuna wtz wengine process za kuwadhibiti zikianza wanapiga kelele mara ooh haki za binadamu!!!! shenz type
Nakumbuka ililipotiwa kuwa jamaa walivuka mpaka wakawafanyia vurugu wajeda! Mijamaa inajiamini sana
 
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana!

Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya mashenzi Al Shaabab yameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tz. Hawa magaidi wanakata watu vichwa, wanachoma nyumba na wanataka kuanzisha Islamic dora as wapo under ISIS. Yes, jeshi la Msumbiji linasema limeurudisha kwenye himaya yao mji wa Palma ila ni mapema kusema ivyo as hakuna mawasilano ya internet. Pia waasi hawa wanaushikiria mji wa Cape Delgado.

Binafsi dawa ya hawa jamaa niionayo huwa ni kuwaangamiza kabla hawajawa imara "eliminate the seedling before it reaches the tree". Mf mzuri ni wale wa Pwani, unawakaanga bila huruma ili ile ideology yao isikue na wasifanye recruitment (kwa ushawishi au kwa lazima)

Je, tumefanya nini cha ziada kuwadhiti hawa wahalifu? Je, wanaokimbilia TZ ni raia tu hakuna Al shaabab?

The early, the better!

Mungu ilinde Tz!!View attachment 1744418
Nakuhakikishia huo ni mkono wa mabeberu, nilifatilia story ya jamaa aliyesumbua Uganda Kama sijakosea ni Joseph Konyi nikajagundua jamaa anawezeshwa na USA kuanzia zana za vita na mikakati yote badae haohao USA wanatangaza dau kwa yoyote atakayewezesha kukamatwa kwake kumbe mission inasukwa na haohao
 
Hawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!

Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.

Haki gani inampa mtu nguvu za kuua mtu mwingine?
 
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana!

Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya mashenzi Al Shaabab yameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tz. Hawa magaidi wanakata watu vichwa, wanachoma nyumba na wanataka kuanzisha Islamic dora as wapo under ISIS. Yes, jeshi la Msumbiji linasema limeurudisha kwenye himaya yao mji wa Palma ila ni mapema kusema ivyo as hakuna mawasilano ya internet. Pia waasi hawa wanaushikiria mji wa Cape Delgado.

Binafsi dawa ya hawa jamaa niionayo huwa ni kuwaangamiza kabla hawajawa imara "eliminate the seedling before it reaches the tree". Mf mzuri ni wale wa Pwani, unawakaanga bila huruma ili ile ideology yao isikue na wasifanye recruitment (kwa ushawishi au kwa lazima)

Je, tumefanya nini cha ziada kuwadhiti hawa wahalifu? Je, wanaokimbilia TZ ni raia tu hakuna Al shaabab?

The early, the better!

Mungu ilinde Tz!!View attachment 1744418
Muulize Zitto Kabwe na Tundu Lissu wanaowatetea wana maoni gani kuhusu sredi yako
 
Back
Top Bottom