Al Shaabab wameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tanzania

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,299
2,000
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana!

Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya mashenzi Al Shaabab yameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tz. Hawa magaidi wanakata watu vichwa, wanachoma nyumba na wanataka kuanzisha Islamic dora as wapo under ISIS. Yes, jeshi la Msumbiji linasema limeurudisha kwenye himaya yao mji wa Palma ila ni mapema kusema ivyo as hakuna mawasilano ya internet. Pia waasi hawa wanaushikiria mji wa Cape Delgado.

Binafsi dawa ya hawa jamaa niionayo huwa ni kuwaangamiza kabla hawajawa imara "eliminate the seedling before it reaches the tree". Mf mzuri ni wale wa Pwani, unawakaanga bila huruma ili ile ideology yao isikue na wasifanye recruitment (kwa ushawishi au kwa lazima)

Je, tumefanya nini cha ziada kuwadhiti hawa wahalifu? Je, wanaokimbilia TZ ni raia tu hakuna Al shaabab?

The early, the better!

Mungu ilinde Tz!!
images%20(6).jpg
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,155
2,000
Hawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!

Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.
 
Van De Beek

JF-Expert Member
Sep 9, 2017
849
1,000
Hawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!

Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.
Hawana sababu ya msingi.....
Ni mapunguani tu yanayoshawishika kizembe, mengi yalikosa elimu.
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,299
2,000
Hawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!

Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.
Jamaa sijui maandiko yao wanatoa wapi. Yaani jitu linamchinja mtu live na linanawa damu! Jinga sana
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,299
2,000
Mmmh!
MUNGU ILINDE TANZANIA NA WATU WAKE.NAAMINI MIPAKA YETU IPO SALAMA NA ITAKUWA SALAMA.
Kwa kinacho onekana katika picha hao madogo hawaja penda kwenda kwa kwa hiyo mijitu
Wanaweza kuteka shule, then wanarecruit vijana na wanakua wauaji mahili, refer Dominc Ongwen wa Uganda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom