Al Shaabab wameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tanzania

Inahitaji diplomatic discipline kuamua nini kifanyike...kumbuka katika mahusiano na taasisi mbalimbali nchi haitakiwi ku ignore makundi haya ya kiimani..katika nyanja za Taaluma hii inaitwa criminal organizations...hawapaswi kutopewa umuhimu..so sio kuwa eliminate ni kukaa nao meza moja
Ukae nao meza moja? People wanaochinja watu ukae nao mjadili nini?

Hapo ni kukuza ugaidi like Somaria, nchi haitatawalika real!

Eliminate them all.
 
Kibiti na Amboni kulikuwa hakuna magaidi ile ilikuwa movie ya CCM kututisha na kubaki madarakani. Kama uliamini pole yako jiulize kwanini wakati wa uchaguzi na uchaguzi kuishia tu hatukusikia tena?


Mbuzibee
Wewe ni mpumbavu tena wa mwisho
 
Hawa bado wanaliwa timming, siku itapokuja kumwaga sumu huko watalia na kusaga meno.
Tatizo huwezi ingia nchi ya mwenzio kuweka ubabe, hao wana jeshi lao na serikali yao na rais wao huingii kipwakipwa utakua uvamizi.
Inteligensia itafuatwa ikifika mahali ruksa sasa pale tunawasindikiza mpaka kwa mababu zao.
Na kuna njia za border hapo kati kuna pori zuri tu ndio wataliwa vichwa haswa watakaofika wachache tu.
Hii bado tunaita ni vijambazi tu vidogodogo bado jeshi halijafikia kuteremsha full force.
Mbona walishajaribu na wakarudi vby tu! I think wana mission ingine hatuijui.

Ila hawa watu hawafai kabisa, usiombe eti waje kisa tuna jeshi zuri noo! US wana jeshi zuri ila wanapigwaga vzr na hao hao wavaa vipedo wenye hand grenades!
 
Hivi Waafrica hatuwezi somesha kwenye haya maswala ya mafuta na gesi na resources nyigine ili tuchimbe tuchengue na kuuza sisi badala ya wageni kwani wao wananini na sisi tuna nini mpaka tushindwe au ni kwa vile bado tunajifunza kwamba tulikuwa colonized na mzungu ana akili kuliko mwafrica badala ya kufundisha watu tuna resources ambazo zikitukiwa vizuri wazungu watapiga magoti
Waafrika bado tumelala. Tunawaabudu sana wazungu na dini zao!
 
watachezea mataifa hayo hayo dhaifu ila kwa hii JWTZ watajupoteana vibaya wakijichanganya kuja bongo
 
Awajamaa watatimba Tanzania,nikicheki uwezo wa jeshi la Nigeria,Misri,Syria nawaona kabisa awa jamaa wana nguvu ya ziada ya pesa na silaha wanayowezeshwa na wafadhili flani.
Tujipe moyo tu lakini nyuma ya pazia mambo ni mazito.
we unadhani hawatamani kuja TZ ila wanajua jinsi tunavyowafanya huko mipakani hawana hamu na TZ
 
Simjui...

Je anaamini ya kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni allah na muhammad(s.a.w) ni mjumbe wa mwenyezi mungu?

Kama ndio basi muislamu huyo.
Ndio anaamini, ila anawasapoti magaidi
 
Back
Top Bottom