Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana!
Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya mashenzi Al Shaabab yameuvuruga mji wa Palma Msumbiji na baadhi ya raia wamekimbilia Tz. Hawa magaidi wanakata watu vichwa, wanachoma nyumba na wanataka kuanzisha Islamic dora as wapo under ISIS. Yes, jeshi la Msumbiji linasema limeurudisha kwenye himaya yao mji wa Palma ila ni mapema kusema ivyo as hakuna mawasilano ya internet. Pia waasi hawa wanaushikiria mji wa Cape Delgado.
Binafsi dawa ya hawa jamaa niionayo huwa ni kuwaangamiza kabla hawajawa imara "eliminate the seedling before it reaches the tree". Mf mzuri ni wale wa Pwani, unawakaanga bila huruma ili ile ideology yao isikue na wasifanye recruitment (kwa ushawishi au kwa lazima)
Je, tumefanya nini cha ziada kuwadhiti hawa wahalifu? Je, wanaokimbilia TZ ni raia tu hakuna Al shaabab?
The early, the better!
Mungu ilinde Tz!!