shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Katika mfululizo wa ujumbe uliotolewa hivi
karibuni kupitia Twitter, al-Shabaab ilijisifu kuhusu
namna wapiganaji wake walivyofanya
mashambulio zaidi ya 100 kwa kipindi cha nusu ya
kwanza ya Ramadhan, na kuapa kuongeza vurugu
wiki zijazo.
Katika ujumbe mbili uliotumwa tarehe 26 Julai, kiongozi mwandamizi wa al-
Shabaab alielezea sababu zao za kufanya vurugu. "Ramadhan ni mwezi wa Jihadi na kutoa sadaka. Ni
muda wa kufanya vitendo vya uadilifu na kutoa
shukrani kwa Allah kwa huruma zake," ilisema.
"Na njia gani iliyo nzuri ya kufunga Ramadhan na
kutoa shukrani kwa Allah kuliko kuchapa shingo
za wavamizi na kuharibu matamanio yao!" Katika jaribio la kuonyesha umoja kukiwa na mgawanyo wa ndani unaoendelea, al-Shabaab ilisema tarehe 27 Julai, "Kama kuna chochote,
kinachoibuka haraka katika mashambulio
yaliratibiwa ni kipimo bayana cha uimara cha
Mujahidina na uwezo wao wa uendeshaji." "Na pamoja na kipindi cha baadaye cha mfungo
unaokaribia Ramadhan ,operesheni zinatarajiwa
kuongezeka hivi punde insha-Allah," ilisema taarifa hiyo toka kwa Kiongozi huyo...