Al Pacino vs Robert De Niro

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
775
Kwa wapenzi wa filamu za Hollywood watakuwa wanawafahamu hawa manguli wawili ambao wamekuwa wakituburudisha kwa miaka mingi sana.

Al Paccino na Robert De Niro watatokea tena pamoja kwenye filamu ya Martin Scorsese inayoitwa The Irishman itakayotoka 2019

Waliwahi kutokea kwenye filamu ya Godfather II lakini sio kwa pamoja kwenye screen (Al pacino aliigiza kama Michael Corleone,mtoto wa Godfather na De Niro aliigiza kama Godfather mwenyewe wakati wa ujana kabla Michael hajazaliwa)

Baadae wakaja kutokea pamoja kwenye Heat na Righteous Kill.

Na mwakani tena watatokea pamoja kwenye The Irishman.


 
These two, absolute mob movie legends.

Ni movie inayomhusu Frank Sheeran "The Irishman" na inakuwa kama zile za Goodfellers na casino.

Watakuwamo akina Joe Pesci, Ray Liotta, Harvey Keitel na Bobby Cannavale

Ila kwenye ulimwengu wa movie za gangsters hawa legends walikuwa ni nyota kwenye movie ya Heat.
 
Wote wakali lkn alpacino ni nyoko from mario puzzo's godfather 1,2 and 3 to scarface, carlitos way acha tu na Deniro nae ni mnayama
 
Joe pesci -joe samaki mtu mmoja matata sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…