Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,558
Mchungaji utahitaji source ya nini tena hapa? Nenda meza za magazeti utaliona tu. Tena kuna ka paragraph sijui aliyekuwa anakasoma na kukatafsiri alikuwa amelewa tende? Kameandikwa hivi:-
Title: SLAA ATAKWEPAJE USIA WA POPE XIII?
Content:" ........... it is always urgent indeed the chef preoccupation to think best how to serve the interest of Catholicism. In any election he went on Catholics are obligated to votefor those who pledged themselves to the Catholic cause and never prefer to them anyone hostile to (Catholic) religion which is the only true religion" Page 150 VICARS OF CHRIST
Hawa watu Udini unawafanya wazidi kuwa nyuma kimaendeleo
Kuna Minister mmoja Kenya Jina nimelisahau, Nasikia Ni tajiri sana.
Jamaa akiandikwa habari za kijingajinga kwenye magazeti anatinga mahakamani.
Ameshinda kesi nyingi na kulipwa fidia nyingi sana. Hivi hawa Alnuur wanavielelezo gani kuwa Slaa ana usia wa pope.
Hivi inawezekana Slaa Akawafungulia mashtaka hawa jamaa na fidia akaomba wasiendike habari yeyote kuhusu yeye.
nina uhakika kabisa siku hawa jamaa wataandika habari nzuri za Slaa Mtume atafufuka.