Al Jadawi yuko Tanzania?

Duu nimejiona sijui historia ya tz na hata zbar....najiona mtupu kabisa nahitaji sana kujua zaidi hist ya nchi hz 2 kwa makini tangu harakati na woote walioshiriki na waliotusaliti na walipo .....hadi haatma yetu...maana mmm
 
Ukiwa Mzanzibari moja kwa moja wewe ni Mtanzania. Lakini unaweza kuwa Mtanzania pasipo kuwa wewe ni Mzanzibari. Uraia una ncha nyingi , na ya muhimu ni nile ya kuwa raia wa kuzaliwa, na kutoukana uraiawako wa kuzaliwa.

Uzanzibari siyo uraia.. hakuna raia wa Zanzibar.. wapo wakazi wa Zanzibar. Kuna uraia mmoja tu nao ni ule Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Hivyo, kuwa Mzanzibari hakukufanyi kuwa Mtanzania unless kama ulikuwa raia wa Zanzibar kabla ya Muungano..
 

Ahaaaaaa! Kumbe ndo maana Lipumba alikuwa anatetea ununuzi wa mitambo chakavu ya Dowans kwa visingizio kadhaa! Duh! Hii TZ taaaabu kweli kweli. Kwa maana nyingine tukimpa kura Limpunda ufisadi bado utakuwa ni kwa kwenda mbele.
 

ADC kirefu chake ni nini?
 
Hi thread ni katika threads nzuri za JF kwa muda mrefu maana inafundisha, ina mambo mengi ambayo wengi hatuyajui na tunaweza kujifunza. Binafsi nimeipenda!
 
ADC kirefu chake ni nini?[/QUOTE]
AIDE DE CAMP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…