Al-Huda inaeneza uongo dhidi ya Kanisa Katoliki

Jamani

Hawa Wakatoliki huwa si watu wa kukurupuka tu, wamejipanga vyema sana na kwenye huo waraka wameeleza kila kitu wazi.

Kingunge kahaibika loooooooooooooooh kibabu kile hata aibu hakina yaani kilishindwa kusoma huu waraka na kuelewa, angeomba mtu amsomee halafu amfafanulie

Nashukuru sana kwa aliyeweka waraka huuu.

Hawa Maaskofu wana Akili sana

BIG UP kwao
 
Unajua akili ni nywele kila mtu ana zake ingawa wapo wanaozimisuse akili zao.
Nimeupitia waraka wa TEC though not deep ila sioni tatizo apo zaidi ya kurecommend viongozi wanaotakiwa kutuongoza na ata taasisi zingine zikija na wao si hoja as long as we are in a common goal ya kumkomboa Mtz.
 
magazeti yote ya kiislam hayana jipya, ndomaana huwa tunayadharau tu na kuendelea na safari. siku zote huwa yanakuwa na maneno makali, na zaidi ili kuhamasisha waislam waone kama wanaonewa fulani hivi. THE MORE YOU ISOLATE YOURSELVES, THE MORE YOU WILL CONTINUE TO BE ILLITERATE AND POORER. mtakuja mkute siku moja hatusaidiani wala hatupokeleani kwenye mashule, mahospitali na hata maduka, kwasababu ya chuko ndani ya misikiti na redio za kiislam.

Ubungo Ubungo.

Hizo zote ni chuki zinazoenezwa na zilizopandwa toka awali. Hakika kila gazeti au hata radio ina watu maalum waliokusudiwa kusikiliza. Huwezi kuwa na radio watu wote wakakusikiliza ni lazima baadhi wataponda hata iwe nzuri kiasi gani.

Ndio maana magazeti hayo na radio hizo zinadumu mpaka leo. kama zingekosa wasikilizaji na wanunuzi basi radio na magazeti hayo yangekufa.

HAKIKA TANZANIA UDINI UMEZIDI. LAKINI KWA WACHAMBUZI WA MAMBO TUNASEMA NI ATHARI ZA UKOLONI . KWANI UGANDA, KENYA NI UKABILA NA TANGANYIKA NI UDINI. HAYO YALIWEKWA KABLA UHURU NA LEO YANASHAMIRI ZAIDI.
 
Al huda ni nini?
Sijawahi kusikia gazeti hili huku kwetu kijijini.Wacha waandike upupu wananchi utaamua ukweli na pumba baada ya kusoma vyote viwili.
 
ni kigazeti fulani hivi cha kigaidi, ni kaka yake na radio za kheri zinazoeneza chuki kwa waislam ili walete fujo tz.
 
Back
Top Bottom