Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Msaada jamani kwa yeyote anayefahamu mahala zipatikanapo ofisi za kaumu ya Al Hassan Mwinyi Foundation...chonde chonde naomba anijuze ama la naomba nisaidie rununu zao ili nipate kufanya nao mawasiliano...naomba kuwasilisha.