Al-Assad Must Go-U.S

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,989
22,521
Obama Administration inajitayarisha kutoa taarifa/msimamo kuwa Al Assad ambaye ni rais wa Syria must go.
Source:CNN
M Take:Al Assad awe makini anaweza kufanyiwa kitu mbaya kama itamsaidia jaluo kurudi white house.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
US ina nguvu ya kusema? Gaddafi bado yupo anatesa.
Mkuu issue ya Gadafi,Obama aliingia choo cha kike.Ukweli ndo huo na ndiyo maana hataki kuweka groud troops.Anajua alishachemsha kule.Siyo kwamba hawezi kumfanyia jumla kama Bush alivomfanyia Saddam.Ila nadhani amegundua it was a mistake.Binafsi nilishasema it was a mistake,and still is a mistake.
 
Obama Administration inajitayarisha kutoa taarifa/msimamo kuwa Al Assad ambaye ni rais wa Syria must go.
Source:CNN
M Take:Al Assad awe makini anaweza kufanyiwa kitu mbaya kama itamsaidia jaluo kurudi white house.
ana maslahi makubwa na huyu jamaa, wata muharakisha amalizie haraka operation yake ya kuua watu/raia
 
Cameron has lost legitimacy, Libyan spokesman says

"Cameron has lost his legitimacy and must go... after the massive popular protests that reject him and his government, especially after the violent police repression unleashed by his government against peaceful protesters... to force the British people to accept a government it rejects," Khalid Ka'im, a foreign ministry spokesman, told the official Jana new agency.

Iran leads MidEast condemnation of savage Britain | News by Country | Reuters
 
Duh kweli mkuki kwa pig
 
mimi anae nishangaza ni luis ocampo

libya alikuwa so fast
but syria yuko kiiimya,kama hayupo....
 
mimi anae nishangaza ni luis ocampo

libya alikuwa so fast
but syria yuko kiiimya,kama hayupo....
Syria iko very close na maslahi ya Israel.So was Egypt.Maeneo hayo ni very "Hot" Umakini unatakiwa.Anything happening there nadhani Israel has to be consulted.Ukiona kimya ujue wanaona situation ni controllable in case issues zinaweza kwenda out of controll.
 
israel?sio iran?????
 
israel?sio iran?????
Mkuu the Boss umesahau ile "Axis of evil" ya kuanzia Bush?Si unajuwa wanasema Syria ndo inapitisha silaha kutoka Iran kwenda kwa Hezbolah ya Nasralah?Ile axis of evil nadhani ilikuwa Iran,Iraq and Syria.Nadhani bado issue hizo ziko mezani mwa CIA nk wakizifanyia kazi.Ni policy zao za mambo ya nje.I stand to be corrected.
 
kama syria ni evil kwa nini anaogopwa?
ocampo kaufyata,
so far hakuna un resolution yeyote

mi nafikiri anaogopwa iran hapa
 
kama syria ni evil kwa nini anaogopwa?
ocampo kaufyata,
so far hakuna un resolution yeyote

mi nafikiri anaogopwa iran hapa
Haogopwi mkuu,nimeshasema hapo nyuma kuwa issues zao zinachukuliwa kwa umakini zaidi na pia kama Israel wanahisi issue inaweza kuwadhuru,basi watakuwa more aggresssive.Soma posti yangu # 8,kuwa Israel must be consulted.Halafu pia uelewe kuwa hizo nchi tatu (axis of evil) ziko equally threatening.In order to break the axis of evil down,axises hizo of evil ambazo ni tatu zote zina umuhimu sawa pale inapokuja kwenye kuzibreak down.So both Iran and Syria are equally threatening kimantiki.Rejea nilipokueleza kuhusu Iran kuitumia Syria kupitisha silaha kuwapelekea Hizbolah.Sasa Iran wana silaha,Syria ikiwanyima access ya kuzipitisha si ndio wanachotaka?Sasa ni kivipi utasema Iran pekee ndiyo muhimu.
Nina amini umenielewa.
 
Back
Top Bottom