Akutwa amekufa kanisani kwa Gwajima

Akutwa amekufa kanisani kwa Gwajima

Jana usiku kuna mshirika wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ubungo, alianguka na kupoteza Maisha wakati akifanyiwa Maombi!

Cha kushangaza waumini na wachungaji wa kanisa hilo waliamua kuitekeleza Maiti Mpaka walipopatikana ndugu wa Marehemu na kuuchukua Mwili wa Marehemu,

Majira ya jioni ndugu wa Marehemu alienda kuomba utaratibu wa kanisa, wachungaji walikuwa wanarushiana mpira na kisha kuamua kusema Marehemu alianguka barabarani na wao wakamuokota kama wasamaria Wema tuu.

Mungu Si athumani Marehemu alikuwa muaminifu kwenye zaka(fungu la kumi) na amehifadhi risiti zake zote alizotoa zaka kuanzia Mwaka 2014 hadi July 2017.

Naomba hii iwe changamoto kwa Askofu Gwajima na wasaidizi wake jinsi ya kuthamini waumini wake wa hali ya chini na kuwajali,

Baadhi ya risiti za Marehemu naziambatisha hapa.
24c791dc369fa7030fda121ad295e27c.jpg
d0d836a151be0e4a31766b4760674770.jpg
edfbdf04b3eabc6af96878ceb70dc8eb.jpg
Duuu Zaka zote hizo Gwajima katia ndani,umekufa unatelekezwa.Uislam una utu sana hats kuzikwa angezikwa Kwa heshima zote

FaizaFoxy Ritz
 
Very sad! Tena ukute pesa hizo alizopeleka kanisani zingeweza kugharamia Matibabu yake kabisa.


Elimu,Elimu
 
Back
Top Bottom