silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Ilibidi jamaa aeleze vizuri kuondoa ukakasi.Hizo risiti alikuwa anatembea nazo marehemu au umezipata wapi?
Ilibidi jamaa aeleze vizuri kuondoa ukakasi.Hizo risiti alikuwa anatembea nazo marehemu au umezipata wapi?
Shilawadu hawasemagi uongoNaona inatengenezwa episode nyingine ya shilawadu hapa. Ila badala ya clouds sahivi ni JF
Hivi Gwajima ni shahidi kwenye kesi ya meya?
Mwenye nacho huongezewa, asie nacho hunyang'anywa hata hicho kidogo alonacho. Akili kumkichwa.serikali iwe makini na hawa watu, mtu ana malaria eti njoo uombewe ili utoe sadaka. Tuelimishe watu kuhusu huu utapeli, huoni mtu ana utajiri mkubwa bado unampelekea kidogo ulicho nacho?
ambao wamekuelewa watakuwa wamekuelewa.Mkiumwa nendeni hospitali,
huko kwa hawa wapiga deal, mzee wa jibapa na wenzake hakufai.
Hilo lilikuwa ni kafara la kawaida na hiyo kesi haitafika popote
Alaa kumbe anafufua misukule tu?Kwani muumini nae ni Msukule? Tumia akili!
Akili yangu nyembamba haijajua methali, nieleweshe.................kama anafufua wanaofia mbali ameshindwa vipi kufufua aliyefia kanisani kwake?Umeelewa ulichoandika? Mganga hajigangi unaielewa tafsiri yake? Au bora kuandika tu?
Katika watu milion 50 hawa wamatatizo flani yasiyojulikana hawatakosekanaHalafu tukisema kwamba hawa wanaosali hayo makanisa wana matatizo fulani katika mfumo wao mzima wa muunganiko wa Ubongo na waya za Fikra huwa mnatununia na kutukasirikia. Sasa yamewakuta! Mmeanza na Kudanganywa hadi mkakolea na sasa mnaanza Kupukutika mmoja mmoja Kudadadeki.
Itakua ambazo hazijafa vizuriGwajima yeye anafufua maiti zipi?