siyo ya kucheka hiyo "madam" mi najiuliz hv ana watoto kwel huyu na je? wanajifunza nn kutoka kwa mama yao. kwa kwel inasikitisha sn.Hahahahah
Mzima mswahili?Muhindi[emoji7] [emoji7]
Basi ana mwili mzuri. Nilifikiri yupo kny early 40sAna 50 Bila chenchi.
Mjaluo yule anajiita Billy Blanks kwa sababu wanafananaNaskia ana hela nyingi na body guard wake kwa sasa ni yule mcheza filamu maarufu Billy Blanks.....
watanoDuh.. Hivi ana watoto?
Wa baba mmoja ?watano
sikumbuki kuhusu hiloWa baba mmoja ?
Ningeshangaa mkuu nilibisha na hadi sasa nabisha hana hela ya kumlipa billy blank maana yule body guard ukimchunguza bado kijana na billy kwa miaka ile atakuwa ameenda umri kwa kweli.....Mjaluo yule anajiita Billy Blanks kwa sababu wanafanana
Angevaa zile soks hata beyonce huvaaUwiiii. Mengine tuwaachie kina Beyonce tu
Sijaona kuhusu billy blanks hiyo taarifa tupe weweAisee hizi bilioni kumi na kitu alizitoa wapi? Kweli haya maisha hayana formular.....
Huyo billy blanks anamlipa kweli au ni show tu baasi pesa IPO ....
Nooo sio pink ni red kabisaaIla kuna sehemu moja utakuta rangi yake ni pink na uweusi wote huo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jaribu kutembelea ukurasa wake wa instagram utamuona wako nae muda woteSijaona kuhusu billy blanks hiyo taarifa tupe wewe
Hahhaa sawa mama sabrina..... kipenzi cha nani vile....Nooo sio pink ni red kabisaa
Kumbeee[emoji134]Nooo sio pink ni red kabisaa
Basi ana mwili mzuri aisee ndio marafiki wa zari rika mojaAna 50 Bila chenchi.