Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 601
- 269
Mi sijaelewa..
Mi sijaelewa..
Jamaa cheti za Sekondari kinaonesha amezaliwa mwaka 1975
Ila cha chuo kikuu kinaonesha kazaliwa 1978..
7th January 1975 and 7/7/1978
Mmmh...hapa hiki cha chuo ndio kimechakachuliwa
Wewe kweli kiraza kama waliompa huyo mwigulu madaraka.Mi sijaelewa..
Mwigulu anapaswa kufungwa kibwebwe kama alivyofungwa sitti mtenvu hadi akatemeshwa taji