Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

Aliposimama Makonda "Mungu" amesimama,namjibu aliyeleta hoja Magufuli atakuwa nani?As long as Makonda nimteule wa Rais,na amesema anaposimama yeye "Mungu" amesimama,basi Magufuli ndiye Mungu maana ndiye anayewakilishwa na Makonda.Maana hata Magufuli aliwahi kusema anataka siku moja awe RAIS wa MALAIKA,kwa wakristu RAIS wa Malaika ni Mungu....Muumba wa Mbingu na dunia.Haya ni mawazo yangu tu
 
Hata mitume na manabii hawakuwahi kutamka maneno hata. Heko watu wa Dar es salaam kwa kuwa na Mungu karibu yenu kupitia Makonda.
Mashehe, mapadre na wachungaji katafuteni kazi nyingine Dar sasa wakitaka toba au msaada wa Mungu watapitishia kwa Makonda kwani ndio njia rahisi maana alipo simama yeye hapo hapo ndipo alipo. Hili jambo litangazwe duniani na hakika ulimwengu utafurika hapa kuja kwa Makonda na nchi itanufaika kwa chanzo hicho kipya cha mapato
Fikiri nje ya box ndugu yangu.. Unajiabisha.
 
The little I know is that this guy is arrogantly blasphemous! Sielewi viongozi wa dini wako wapi kwani nashangaa kimya chao. I thought by now they should have dissociated with this guy and urge their congregations to avoid his meetings until such a time when he repent the sins!
 
NAWAZA

MUNGU HASHIRIKI UTUKUFU NA MWANADAMU

Mfalme Herode hakujitaja kuwa ni Mungu, lakini kwa kukubali kusifiwa na wapambe wake kuwa sauti yake ni sawa na sauti ya MUNGU, alikufa!

Nawaza kwa sauti, aliyesema yeye ni sawa na Mungu, anakwepaje unabii wa Lema?

[HASHTAG]#Tazama[/HASHTAG] miguu iliyotoka kuwazika wenye kiburi iko mlangoni!
[HASHTAG]#SoonTutafunika[/HASHTAG]
1f62d.png

[HASHTAG]#WatumishiWaheshimiwe[/HASHTAG]
 
Najua Makonda aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Najua pia kwamba Rais Magufuli aliyemteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, yeye mwenyewe alikatataliwa na wana Dar es Salaam. Sasa Makonda anapowataka wana Dar es Salaam wamtambue kama mungu na kwamba akisimama kuongea nao ni mungu kasimama...je mteuzi mwenyewe akisimama kuongea na wana Dar es Salaam, wamchukulie vipi?

mimi-mungu-jpg.441219
Najua wengi hili jambo mnalichukulia kimatani lakini ukweli ni kwamba kuna aina mbili tu za watu wanaoweza kutoa kauli kama aliyoitoa Makonda. Ama ni mwathirika wa madawa ya kulevya au ni mwathirika wa ugonjwa wa akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kwa namna yoyote ile kutamka maneno aliyotamka Makonda. Hapa yabidi tujiulize kwa nini mpaka dakika hii mteuzi wake hajachukua hatua yoyote kutunusuru raia na kadhia hii?

Najua pia kumetokea si mara moja ama mbili tu Makonda, ameamrisha Jeshi letu la Polisi, kutii amri zake zisizo na uhalali wowote. Bila shaka haya yote yemewezekana kwa sababu Makonda akitamka, mungu katamka. Hii imewajengea wengi taswira kwamba kila anachofanya Makonda kina baraka za aliyemteua ambaye pia ndiye Jemadari Mkuu wa Taifa kikatiba. Sasa kama Makonda ni mungu, Rais Magufuli pia ni moja katika waumini wake?

=======

Du hii kali, Makonda ni Mungu na Mungu ni Makonda. Sasa Magu ni nani? Hakika sina jibu. Kwa kupotea naweza sema Shet......... Umekosa! Jaribu tena. ,,,,,,,,,,......................... dakika zimekwisha.
 
Jamii yetu inazidi kuwa na watu wa hovyo mila kukicha. Mada nyingi zinazoandikwa ni za kiudaku udaku. Imagine mtu anaamua kabisa kuchukua muda wake kuandika kuwa Makonda ni Mungu au la. pathetic. Tufanye mambo ya msingi kuinua uchumi wa nchi hii.
 
Najua Makonda aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Najua pia kwamba Rais Magufuli aliyemteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, yeye mwenyewe alikatataliwa na wana Dar es Salaam. Sasa Makonda anapowataka wana Dar es Salaam wamtambue kama mungu na kwamba akisimama kuongea nao ni mungu kasimama...je mteuzi mwenyewe akisimama kuongea na wana Dar es Salaam, wamchukulie vipi?

mimi-mungu-jpg.441219
Najua wengi hili jambo mnalichukulia kimatani lakini ukweli ni kwamba kuna aina mbili tu za watu wanaoweza kutoa kauli kama aliyoitoa Makonda. Ama ni mwathirika wa madawa ya kulevya au ni mwathirika wa ugonjwa wa akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kwa namna yoyote ile kutamka maneno aliyotamka Makonda. Hapa yabidi tujiulize kwa nini mpaka dakika hii mteuzi wake hajachukua hatua yoyote kutunusuru raia na kadhia hii?

Najua pia kumetokea si mara moja ama mbili tu Makonda, ameamrisha Jeshi letu la Polisi, kutii amri zake zisizo na uhalali wowote. Bila shaka haya yote yemewezekana kwa sababu Makonda akitamka, mungu katamka. Hii imewajengea wengi taswira kwamba kila anachofanya Makonda kina baraka za aliyemteua ambaye pia ndiye Jemadari Mkuu wa Taifa kikatiba. Sasa kama Makonda ni mungu, Rais Magufuli pia ni moja katika waumini wake?

=======

Huyu ni mungu wa herufi ndogo si vinginevyo.

Ngoma ikivuma sana mwisho ina..........
 
Wewe acha kufananisha mungu na binadamu,.mungu ndio kila kitu ndio maana kajengewa nyumba za ibada.achen kumtukuza ana kitu chochote huyo.
 
Yule mwingine anasema msinijaribu mimi sijaribiwi na anapenda sana kuombewa na kumtajataja Mungu, huyu naye anasema msinijaribu mimi sijaribiwi na ameongezea hayo maneno ya kujiona Mungu, nahisi huu utawala unaficha maovu yake kwa mgongo wa Mungu
Hata mimi nilishahisi hivyo kitambo
 
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE

Yaani unachangia utafikiri wanaosoma humu hawajielewi au hawana akili, jiangalie!
 
Atakuwa anaongelea wale miungu wengine tunaoonywa juu yao kwenye Amri Kumi za MUNGU.
 
Back
Top Bottom