Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

Najua kiimani mamlaka zote za duniani zatoka kwa Mungu. Hata hivyo, nadhani si mheshimiwa rais wala mkuu wa mkoa wa Dar anayeweza kudai kuwa akisimama yeye ni sawa amesimama Mungu.
Kwa nini? Kwa sababu Mungu ni mkamilifu wakati wote. Binadamu si mkamilifu, na hawezi kuwa mkamilifu.
 
Wakuu, lakini si kuna kauli kwamba Mamlaka zote hapa duniani zimewekwa na Mungu?
 
Back
Top Bottom