Tukutane bar tule vitu tukalale kesho asubh tunaamkia mchemsho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida yote ya nn
hahahhah hamna bonny ndoa kama ipo ipo tu sio mambo ya kutesana et ndio kipimo cha mke mwemaTukutane bar tule vitu tukalale kesho asubh tunaamkia mchemsho
C ndio maana nlikwambia uje makuti pub siku Ile ya nn nkuchoshehahahhah hamna bonny ndoa kama ipo ipo tu sio mambo ya kutesana et ndio kipimo cha mke mwema
makuti pub ningekuja kufanya nn hivi mm si dada akoC ndio maana nlikwambia uje makuti pub siku Ile ya nn nkuchoshe
C uje tule nyama na soda mtu na dada yakemakuti pub ningekuja kufanya nn hivi mm si dada ako
maarage umeenda mbali mkaa tu hatujawahi tumia [emoji38][emoji38][emoji38]kwanza atakuambia kwao hawalagi maharage
ndio mana nilikua na wasi wasi wa kuja niite tena bas kaka nije kula nyamaC uje tule nyama na soda mtu na dada yake
We Njoo ukikarbia niambie niweke oda kabisandio mana nilikua na wasi wasi wa kuja niite tena bas kaka nije kula nyama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikia jamaangu wa JF, ukipata sketi humu Jf, muite getto, mpe jiko lilopgwa mvua na mabox yaliyolowa maji na mkaa wenye unyevu awashe moto.. mpe maharage yenye mawe achambue... mpe mchele wenye machuya mengi achambue.. then kisha apike.. mkishakula, Jioni saa 11 mpe 1000 ya nauli ya bodaboda na mwambie kesho arudi.. KAMA Kesho akirudi, huyo MUOE kabisa usimwache...