Akinadada wa JF acheni hizo tabia

narumuk labda kuna watu wanabiashara humu ila pia nisaikolojia wanawake sisi siyo wahuni kabisa ukiona mwanamke wake amekupanga angalia umekosea wapi,udangaji ni biashara isiyo rasmi ukiona wewe i danga tegemea muwe zidi ya mmoja msaidiane majukumu
Biashara ya kufanya na mtu na Rafiki yake si uungwana ni unoko! Imagine kama mmoja kiafya amerugelise basi wote waasilike?
 
Biashara ya kufanya na mtu na Rafiki yake si uungwana ni unoko! Imagine kama mmoja kiafya amerugelise basi wote waasilike?
Aaaaaa sasa jamani kwani biashara inachaguaga mteja,ngoja niishie hapa naona uko live kuna kitu anyway ni mapito
 
Aliyesema wanawake ni chombo cha starehe hakukosea.99.9% ya wanawake jukwaa la MMU wako kusaka udangaji.just give em money and f*** them harder then let them go.
Na miss jukwaa la siasa aisee vile jiwe kalikazia bas nalazimika shinda huku.
 
Naomba link ya huo uzi mkuu labda umefananisha majina
 
Pole ,,wamekuchanganya,,sasa na wewe kwann unachukua mwanamke jf, kote ulikopita,unakoishi ,ulikosoma hamna mwanamke??
 
Wanaringia ndinga za baba
kula kwa baba.......
nguo za baba ...

Tag ubavu
 
Na kitumbua unawapanulia wote 10?
 
Pole ,,wamekuchanganya,,sasa na wewe kwann unachukua mwanamke jf, kote ulikopita,unakoishi ,ulikosoma hamna mwanamke??
Nilijifanya kutafuta GT maana mitaani kwetu hawajastarabika na wameishia Darasa la nne
 
Afadhali wewe unajisemea ukweli maana wengine wajidai you are the only one in this world kumbe urongo mpo zaidi ya 10
 
Kila wakati nasema tuache kutumia pointi moja kuchora graph. Wewe ulimpata huyo chovyachovya ukadhani wote ni sawa! Nakuhakikishia hapa JF wanaume wote isipokuwa 3 tu wakipata binti alotulia hawahanji ila nyie only God knows
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…