Kongosho uwe na mipaka pia,
si unakumbuka ulivyonikimbiza kuleee
tena unahamia kwa Bishanga kisa pesa,
halafu ujue mie ninachopenda ni tofauti.[
QUOTE=Kongosho;6621300]Kuachwa na Bishanga kazi jamani
Bado unaumia? He he he he he, [ole yako bibie[/QUOTE]
Akuuh! huo ubaunsa na ubonge nimetoa wapi hao ni Mamndenyi na Kongosho mie nipo busy na ukaguzi huenda nikaopoa humo mabachela kibao mume wa kazi gani mi nawacheki Bishanga anavyowapanga kama mafungu ya viazi