Akina mama kwa nn mpo hivi?

Mimi huwa nawapisha lakini nakereka sana.
Kama unaona gari imejaa na una kitumbo kwanini upande?
Au vibabu na vibibi navyo si vitulie majumbani.
Mwingine anapanda na watoto kibao. Nao wajitazame.
Umpishe mwenzio wewe uminywe jamani.
Tunapendana ila tunaanza kuzipenda nafsi zetu kwanza.
 
kwa upande wangu,mimi ningewapa sit,lakini kusema ukweli,kuna ukweli ndani yake.mimi nikienda benk,huwa nahisi w.me wana huduma nzuri kuliko w.ke,au passport control naamini bora nikutane na m.me kuliko m.ke
 
Ni kweli wakinamama sometimes hawapendani lakini hili la daladala nakataa, utakuta mtu anaona kabisa gari imejaa lakini anapanda hivyo hivyo na mtoto wake/watoto wake. Kunyanyuka siwezi kwani na mimi nakua nimechoka tena nimechoka hasa cha kufanya naweza mpokea mtoto kama ni msafi maana wengine sio wasafi kabisa anapanda na mtoto ananuka mikojo + mchafu hadi kero huyu atanisamehe mwingine anazaa kama anatenda unakuta wa kwanza anamiaka 3, wapili 2, watatu kambeba mgongoni na anapanda daladala lililojaa aku mwenzangu kuna mambo mengine mwatuonea wakinamama kwani wanajitakia wenyewe

pumba. Kwani hao kina mama wanazaa tu kama bikira maria?
 
Mimi huwa nawapisha lakini nakereka sana.
Kama unaona gari imejaa na una kitumbo kwanini upande?
Au vibabu na vibibi navyo si vitulie majumbani.
Mwingine anapanda na watoto kibao. Nao wajitazame.
Umpishe mwenzio wewe uminywe jamani.
Tunapendana ila tunaanza kuzipenda nafsi zetu kwanza.

rudi mirembe utakuwa hujapona wewe, unauliza babuau bibi anaenda wapi? Umenisikitisha san.tatizo watz bado hatuna adabu kabisa
 
nikupishe kwani mie ndi nilikutuma upande daladala lililojaa ebo!!

mh,maria roza acha hizo! Hivi kuna mtu anapenda kupanda daladala iliyojaa?
Mi huwa nawapisha tu maana kiukweli huwa sipendi kumshikia mtu mtoto maana naogopa kuachiwa bureee.

Ni kweli ukianda bar na mwanaume kama utahudumiwa na mdada unaweza upate hasira sana,cjui wanakua na wivu au ni nn,nashindwa kuelewa.
 
Yaani kazi kweli kweli unakuta mama au dada kauchubua mama ana mimba tumbo hilo hata kumpisha aaah yeye hana hata time ndo kwanza anajifanya anasinzia

Kwakuwa mimba si ugonjwa na ni hali ya kujitakia ndo maana wanawake huwa hawashughuliki kuwapisha kwenye daladala kukaa.
mpeleke dem leba uone manesi watakavyo anza kumsakama na hata kumtusi vibaya.
 
Mi bado niko huku kwa madaladala. Kwanza wenyewe ndio wang'ang'ania kukaa mjini kwenye magari kujaa rudini vijijini huku c twajitembelea kwa miguu tu hakuna kubanana
 
Kumchukia mtu bila sababu ni ujinga wa asili,hata kama simjui mwanamke kuna tabia hazijifichi,mfano mko kwenye party mtu anaanza ku-behave visivyo sasa mtu kama huyu ukimpa attitude kidogo kama ana akili atashtuka na kujirekebisha,kama haelewi ndo basi tena.

i dhana naipinga naikataa cz mpk nimefika apa ni mesapotiwa na mademu/wanawake
tunapendana
km kuchukiana ni chuk za kawaida ambazo ata wanaume pia wanachukiana au mnataka mniambie kwamba nyiny wanaumne woooooooooooooooote mnapendsana?hakuna mnaochukiana|?
 
"there is no natural law for a person to love his/her neighbour" by Ivan Karamazov of the Karamazov brothers
 
Jana nimempakata mtoto kwenye daladala si akanikojolea dah bora ningempisha mama akae tu.
 
Back
Top Bottom