Akina mama kwa nn mpo hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina mama kwa nn mpo hivi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Jan 11, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa nn akina mama mpo hivi?
  Unakuta kwenye daladala mama amepanda ana mtoto mchanga seat za karibu kuna akina mama utakuta wameuchunaaaaaaa kumwachia seat au kumpokea mtoto kimyaaaaa mpaka sisi wababa nyumba tusimame kumpisha akina mama kwa nn mna roho mbaya jamani??
  Hata kwa wajawazito huwa mnafanya hivi hivi. Kwa nn jamani?
  Hata bar ukienda na mwanamke tu kosa huduma unapata mbovu kwa nn akina mama hivyo?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukweli ndo huo akina mama hampendani hii hali kwa nini jamani?

  Mama akikwaa cheo tu utaona akina mama wenzake wanavyo mdharau dah kwa nn?

  Ukienda hospitali huduma atakayo pewa mama na baba ni tofauti kabisa kwa nini jamani?

  Yaani utafikiri mama hujazaliwa na mama badilikeni jama mnaniboa kweli kweli
   
 3. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kumbe umeona eeh?
  Wana roho mbaya sana hawa kwa jinsia yao...
  Hata manesi wanakuwa na kauli mbaya sana kwa wanawake wenzao.
  Sijui na wa hapa JF wako hivohivo?
   
 4. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  we unashangaa hili la kwenye daladala Fidel?,
  nenda kule wodi za wazazi, ndo utajua unyambilisi wa hawa viumbe!!!!!!!!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Duh hii imeniacha hoi umeamua kunichana live kabisa pale nilipokataa kumpisha wife wako kwenye daladala sory nilikuwa nimechoka.

  Ila bwana kweli uliyosema tena hili la kwenda JJ na mwanamke itakula kwako husikilizwi saa nzima nakwambia.

  Ni kweli sijui tufanyeje???
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mwaka huu kazi tunayo,kwanza si wanawake wote wako hivyo,ni wale wenye ujinga wa asili ndo huchukia wenzao bila sababu au wenye malengo yao binafsi na hao wanaowachukia au waliofuatana nao kama hiyo kesi ya baa,unakuta mtu anamtaka yule mwanaume aliyeko na yule mwanamke so akiona wamnyima riziki anauchuna.........

  Pili si wote wenye jinsia ya kike tumenyimwa roho safi kwa wanawake wenzetu,ila kwenye issue kama hiyo ya daladala yawezekana wale wamama hawasimami kwa kuwa labda nao wamechoka au wanaumwa au wametembea umbali mrefu sana kufika hapo......kwenye suala la manesi wale nao ni binadamu,wanachoka na wanakutana na mengi,kwa hiyo unakuta ana-behave vile kwasababu za shida zake si kwa kuwa yule ni mwanamke mwenzie.

  Tatu,kuna wanawake wana tabia za ajabu ndo maana wanawake wenzao hawawapendi kama umbeya,fitna,wivu,kutokusaidiana na wenzio,kujiona bora sana au mzuri mno,kupenda wanaume wa wenzio,kutokujiheshimu etc etc there is always a reason behind!
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red,huu ujinga wa asili unaouzungumzia ni wa namna gani?Tabia za ajabu unazozizungumzia hapa ni kwa wale wanaojuana,je kwa wale ambao mnakutana kwa mara ya kwanza na ikatokea kutopendana,unalizungumziaje hili?
   
 8. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mama mmoja wa ki Asia alinifurahisha siku moja kwenye public bus....alikuwa amekaa next to her hubby na ana mtoto around 6 moths old on her lap,akaingia mama in her late months of pregnancy....yule mama mu Asia alimpiga jicho mumewe,then akamwambia.."hey u gotta get up,I was just like her(the pregnant woman) several months ago.."...dah ~, kidume kiliamka fasta sana kumpisha yule mama mjamzito.
   
 9. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni kweli wakinamama sometimes hawapendani lakini hili la daladala nakataa, utakuta mtu anaona kabisa gari imejaa lakini anapanda hivyo hivyo na mtoto wake/watoto wake. Kunyanyuka siwezi kwani na mimi nakua nimechoka tena nimechoka hasa cha kufanya naweza mpokea mtoto kama ni msafi maana wengine sio wasafi kabisa anapanda na mtoto ananuka mikojo + mchafu hadi kero huyu atanisamehe mwingine anazaa kama anatenda unakuta wa kwanza anamiaka 3, wapili 2, watatu kambeba mgongoni na anapanda daladala lililojaa aku mwenzangu kuna mambo mengine mwatuonea wakinamama kwani wanajitakia wenyewe
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na wenyewe wanakua wamechoka!!Hiyo baa ni chuki ya kawaida tu..we unadhani kama muhudumu amekua akikumendea atamchekea anaepata kweli!!Hapo kwenye maendeleo inakua ni wivu tu unawasumbua...ukiskia mtu anasema fulani anajifanya kasoma sana..mara sijui ana pesa ujue anatamani na yeye angekua hivyo!Au hiyo bahati ingekua yake na sio ya yule!
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kumchukia mtu bila sababu ni ujinga wa asili,hata kama simjui mwanamke kuna tabia hazijifichi,mfano mko kwenye party mtu anaanza ku-behave visivyo sasa mtu kama huyu ukimpa attitude kidogo kama ana akili atashtuka na kujirekebisha,kama haelewi ndo basi tena.
   
 12. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U said it all dada Maty... wanasema "utanashati unaficha umaskini", ukiangalia vzr katika vyombo vya usafiri, ukiwa na mtoto msafi, umemvalisha vizuri, hujamvalisha life assurance tag (hirizi), utakuta watu wanatamani tu kumbeba...

  Kuhusu wajawazito, nafikiri wanahitaji mazoezi, so sio vibaya akisimama kdg...

  Hili Tatizo la wahudumu linaletwa na wanaume wenyewe, leo umeingia Jei Jei mwenyewe, unawachangamkia wahudumu, wanazunguka meza yako mnakula mdudu hadi wanakulisha vipande vingine, unawanunulia pombe, its mots obvious kwamba ukienda na demu you will not act/do the same... sasa kwa nini wasichukie??
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukweli unabaki pale pale kuwa wanawake hampendani na hii husababisha kutothaminiana ninyi kwa ninyi.
   
 14. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ubinadamu kazi...?!!!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yaani kazi kweli kweli unakuta mama au dada kauchubua mama ana mimba tumbo hilo hata kumpisha aaah yeye hana hata time ndo kwanza anajifanya anasinzia
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  It is so commonplace to hear women degrade other women just because they are women. I can not count the number of times I've heard women say that they'd rather befriend a man rather than a woman. They say that other women are caddy. And their male friends are much more entertaining and fun to be around.
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Usiombee uende bar na demu shombe shombe unaweza ita wahudumu mara kumi ukiagiza soda anakuja nayo anaitikisa akifungua inafoka unashangaa imebaki nusu chupa
   
 18. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mi nakubali na kukataa kidogo,.hata wanaume inatokea,.ikitokea ishu ya boss mwanaume(mfno wa kazini)guys might say we msichana nenda atakubali tu..and it happens inakua rahisi for men to get into a conscience with women and the viceversa is true..wanaume wangapi wanasimama mbabu akiingia kwenye gari jamani?.hadi imefikia hatua ukiona sehemu ina mhudumu wa kike(if you are a woman)unamsukumizia boyfriend,kakaako,etc.
  back to the topic,.wanawake wengi like Men are faced with the fact of being jelous,feeling inferior(umeingia na kigari chako hospital na nesi akakuona)utaipata,ila ukiwa na pesa its simple.,wantin to be recognized etc.but me love Women from the tip of my heart kweli!:hug:
   
 19. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kweli fidel leo umetuamulia
   
 20. tama

  tama JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sawa sawa.
   
Loading...