Akina mama/dada muogopeni muumba jamani

Ni kweli inakera sana Elli (Kumbujka pia kuna wanaume ambao wanakuacha kwa kukuona hufai, ukiolewa na mwingine na kupendeza anaomba kukumbushia!)

Lakini Elli mpaka amefikia hatua ya kukusumbua namna hii, kuna some positive signs ulizokuwa unamwonyesha! What if baada ya kusikia ameolewa na alipokupigia na kukueleza nia yake hiyo chafu usimdelete kabisa? why unapokea simu zake? why unajibu sms? why usimpotezee au hata kuchukua hatua ya kumweleza mumewe kama anakukera kiasi hicho??
 
Duh, mpwa..mwanaume kweli anapimwaje? Nimeshapromise kuwa nitafanya hivyo, kwani kuomba mawazo ni vibaya au mlitaka nije na ile style iliyozoeleka hapa JF kua kuna mtu/rafiki/ndg yangu ana tatizo flani kanituma nimwombee msaada wa mawazo??? No I am not of such kind, ni mimi ndio yamenikuta na ninabaki kuwa mimi, well, nimekuelewa Belinda, sitampa tena nafasi ya yeye kunipata, be blessed

Hebu pitia tena hoja uliyoianzisha kama unaomba mawazo au unatoa somo kwa wakina dada, mweeh!!..eniwei, kama unamaanisha ulichosema usimpe nafasi na kama ni ngumu mshirikishe mkeo. Wangekuwa wanaume wote kama wewe mbona ingekuwa raha!!
 
Mpwa bana, haya nimekuelewa bana, yaishe.....toa na wewe mawazo yako. Asante Belinda
 
Ni kweli inakera sana Elli (Kumbujka pia kuna wanaume ambao wanakuacha kwa kukuona hufai, ukiolewa na mwingine na kupendeza anaomba kukumbushia!)

Lakini Elli mpaka amefikia hatua ya kukusumbua namna hii, kuna some positive signs ulizokuwa unamwonyesha! What if baada ya kusikia ameolewa na alipokupigia na kukueleza nia yake hiyo chafu usimdelete kabisa? why unapokea simu zake? why unajibu sms? why usimpotezee au hata kuchukua hatua ya kumweleza mumewe kama anakukera kiasi hicho??
Ndio nakubali kabisa lakini...positive signs kwako sio na lazima kwangu ziwe ni positive pia zaweza kuwa neutral, so mimi hata tikuchati kiasi gani huwa nachukulia ni hali ya kawaida tu...asante kwa kuchangia pia
 
Pole kwa usumbufu unaopitia,pia asante kwa kutukumbusha kuzidi kuwa na hofu ya Mungu :pray:
 
Ndio nakubali kabisa lakini...positive signs kwako sio na lazima kwangu ziwe ni positive pia zaweza kuwa neutral, so mimi hata tikuchati kiasi gani huwa nachukulia ni hali ya kawaida tu...asante kwa kuchangia pia

Ni kweli but ninachomaanisha hapa STOP entertaining her if she is really disturbing you.
 
I promise kuwapa feedback nitakapokuwa nimemwambia, kweli I promise to do so.....ngoja nisubirie text yake maana amesema atanitumia sms ya salam leo japo nachelewa kumjibu.....

ulikuwa unasubiri nini kumwambia ukweli cku zote?mi naamini ungekuwa serious kumwambia asingekusumbua vinginevyo na ww ulikuwa unaona ka-ujiko flani hivi..lol
 
ulikuwa unasubiri nini kumwambia ukweli cku zote?mi naamini ungekuwa serious kumwambia asingekusumbua vinginevyo na ww ulikuwa unaona ka-ujiko flani hivi..lol
hahahaaaaa mwili huuu jamani!!! yaani hata mtu akianza kutuma sms tu, nimjibu vibaya kisa nataka kumwonyesha kuwa niko serious? Sikuumbwa hivyo ndipo tatizo linapokuja hapo.....ok, thanks pia
 
ni vema ukauheshimu mawazo yako na imani yako.au akiendelea mwambie utamjulisha mumewe.
 
hahahaaaaa mwili huuu jamani!!! yaani hata mtu akianza kutuma sms tu, nimjibu vibaya kisa nataka kumwonyesha kuwa niko serious? Sikuumbwa hivyo ndipo tatizo linapokuja hapo.....ok, thanks pia

Elli nani alikuambia kuwa siriaz ni kumjibu mtu vibaya?onyesha kuwa unamaanisha kile unachokisema,n still u can remain as gud friends,cheers
 
kazi kweli kweli......nilijua ugomvi ni kwa huyu dada mwenye ndoa na watoto kutoka nje ya ndoa...kumbe ugomvi ni kukurudia wewe aliyekutapika zamani? sasa,em tuweke hivi,ungekuwa ulimtapika wewe,akolewa,lakini akataka ku-spend muda na wewe,ungempokea kwa mikono miwili sio? kuweni na msimamo pia wanaume,you are the weakest creatures......!!!
hahaahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Elli nani alikuambia kuwa siriaz ni kumjibu mtu vibaya?onyesha kuwa unamaanisha kile unachokisema,n still u can remain as gud friends,cheers
Sorry, just misconceptions!! Thanks and be blessed
 
Sina tabia wala mazoea ya kuanzisha thread za mahusiano lakini kwa hili hapana; Mimi kama Mwanamme ambaye nitabaki kuwa mkweli kwa kuwa kweli hukuweka HURU, nasema hivi; tangu kubalehe hadi sasa ni kweli tupu kuwa nimeshakuwa na mahusiano na baadhi ya wanawake ( number doesnt matter).
Wapo ambao tulipendana kwa dhati ila kwa sababu ya mambo mbalimbali ilibidi relation zetu zi-break. Wapo ambao waliniacha bila sababu za msingi ( kwa upande wangu), wapo ambao kwa sababu kipindi kile tulikuwa labda "watoto" ( maana watoto hawafanyi) basi hao nao tuli-break ila kuna hawa ambao tuliachana kwa amani sana. Tulipatana kuwa sasa imetosha, nao pia nawashukuru sana ( usikimbilie kujumlisha idadi p utapotosha somo).

Nachukua nafasi hii kwa uchungu sana kwa wale akina dada wenye tabia za kuwaacha wanaume bila sababu na when things turns out worse wanaanza kukusumbua. Wamekua wakinisumbua sana ila sasa huyu wa juzi aliniiacha miaka kama kumi iliopita kwasababu nilimwambia asubiri nimalize kale ka-degree kangu, akaona anachelewa sasa eti ananisumbua na sms na simu kila saa kuwa bado anani-feel sana!!

Jana nikamtumia sms kuwa, yeye ameolewa, ana mume na watoto wawili, namheshimu mumewe na pia naiheshimu ndoa yao lakini pia nisingependa nijiingize kwenye mahusiano ambayo si sahihi ukizingatia na mimi sasa niko na my wife.....analalamika na kuniomba nikutane naye japo mara moja. Nimeamua ku-generalize kuwa labda ni akina dada wote ( including my wife maybe) kwa sababu huyu si wa kwanza wala awa pili na hata pia the same stories nimeshazisikia kwa marafiki zangu.

Hivyo nasema kwamba, kwa akina kaka na akina dada hasa akina dada, hebu tuache hizi tabia chafu tutunze ndoa na watoto wetu, ngono hazina mwisho, mimi ni sawa na huyo ulienae tuuuu, tuacheni tamaa tumrudie MUUMBA. Sorry kama nitawakera baadhi yenu.

The same applies kwa wanaume wanaosarandia ma-ex wao bila kujali kuwa wao wameoa au hao ma ex wameolewa.

Text message na simu saa sita usiku inahuu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The same applies kwa wanaume wanaosarandia ma-ex wao bila kujali kuwa wao wameoa au hao ma ex wameolewa.

Text message na simu saa sita usiku inahuu!

...LOL! Freema bana!...mwenzio 'anakumbukia!' mida hiyo mlipokuwa pamoja!
Mawazoni mwake anahisi mida hiyo utakuwa busy, akikupigia atakukatiea stimu.

Msamehe tu...:whistle:
 
Haya kwa wale waliokuwa na mahusiano kabla ya waliokuwa nao wamjibu elli, oooopsnashkuru kikombe hiki kimenipitia kando
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom