Akina mama/dada muogopeni muumba jamani

Haya kwa wale waliokuwa na mahusiano kabla ya waliokuwa nao wamjibu elli, oooopsnashkuru kikombe hiki kimenipitia kando
kweli kimekupitia kando??? ANgalia usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto....
 
Elli,kama huwa mnachat na pengine kuonana si kwa kukumbushia mambo ya zamani au kama una uwezo wa kumwalika for a drink au lunch ebu jaribu kufanya hivi: mweleze mkeo yoote na hakikisha ameelewa. muombe akusaidie kumaliza tatizo hilo. make an appointment muonane naye sehemu kwa some drinks au lunch kwa ajili ya kurekebisha na kurudisha uhusiano. usimwambie utakuwa na nani. wahi mahali hapo some minutes before the appointment time ukiwa na ubavu wako. akija mtambulishe kwa mkeo na mkeo mwambie huyo ni rafiki yako wa zamani. atapata aibu na akiondoka hutamsikia tena. QED.
 
Thanks, well am fighting to overcome this
 
Tatizo hili hujitokeza pale ambapo mahusiano yalivunjika kwa amani.....! I never believed, and will never believe that any relation that was/is broken in peace, will never get repeat again....! Some people do not accept me when I use these words, but this is not a quot from somewhere, but these words comes from my own experience....! A true love has no reason(s), but it is normally associated with unlimited and unconditional sacrifices....! And thus, a true break-up does never come through peace....! but, it comes from a strong conflict which will never get resolved...!

What you have to do? Just call all those who are making a such disturbances to you, then watukane na ikiwezekana waanike hadharani...! that will be finished...! Otherwise, you may not be serious...!
 
weweeeeeee, mimi labda uninunie wewe but sijawahi kumununia mtu kisa eti kaniacha.....tutaendelea kuwasiliana kwa mambo mengine kama kawa na ndio ninachohisi kuwa huyu dada kaona labda bado nimezimika kwake maana akituma sms namjibu, akipiga napokea...............jipange tena uje kunishauri vinginevyo
 
So funny... Yaani wakina dada wote wamekimbilia kusema sio wakina dada WOTE wanaofanya hivyo, na huo ndio ukweli, lakini zikitokea mada za kuwaponda wanaume wanakuwa wa kwanza kushusha lundo la lawana kwa wanaume wote. Mara ooh wanaume wanatudanganya, malaya walevi, n.k.

Ni bahati mbaya sana mambo mengi hapa jamvini tunajadili kama vikundi (Gangs), hakuna independent thinking. Wanawake watasema wanaume wachawi na wanaume nao watasema wanawake wadanganyifu, kwenye siasa ndo usiseme, hata dini zinalazimishwa ziingie. Tukubali kwamba hakuna tabia za kikundi, kuna tabia za individuals kulingana na malezi waliyokulia.

Kama mtu una masahibu yamekukuta, just share the story, usikimbilie kulaumu wanawake wote au wanaume wote. Kwa jinsi watu wa jinsia moja wanavyowasema vibaya watu wa jinsia nyingine, unajiuliza kama hapa kuna mtu MAMA yake ni MWANAUME na BABA yake ni MWANAMKE!
 
Na wee pia nikusoma uzuri saaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom